Kwa kujibu wa maandiko matakatifu yaitwayo biblia, ukisoma mwanzo 1:26-27,28Mwanzo 1:26-28 RSUVDC
[26] Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi. [27]...