Recent content by mbaza goha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni watoto na ndugu wa viongozi wa CCM tu ndio waliobaki kuipigania kufa na kupona

    Naiomba list ya mafisadi papa kwenye blog ya chadema Pia ninaomba mbowe anitajie ile list ya mafisadi papa
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Zamani ulikuwa na upasuaji wa Moyo Tanzania hivyo kila kitu kitakuja taratiiiibu, Katika Blog ya chadema kulikuwa na list ya mafisadi papa na moja ya majina ya hao ni mgombea uraisi wa chagadema sasa hivi imeondolewa kwanini? Iondokewe, Lowassa kashindwa kuingiza maji monduli ataweza Mikoa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania NEC tusaidieni kujibu hoja za wananchi

    Alafu sasa kama umeandikisha katika eneo ambalo huishi utapiga kura ya mbunge na raisi Diwani imekula kwako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuitafakari kauli hii ya mwanamabadiliko Mh. Sumaye

    MR 0 Katika ubora wake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

    Tutaona mengi mwaka huu hata mwalimu anaelipwa mshahara na ccm nae yumo kwenye siasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania ITV mnaficha nini kwa Lowassa? Picha ya Bukoba leo mmedanganya?

    Nimeshangaaa lowassa leo kawa na nguvuuuu huyooooo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Daaaa yericko nanwonea huruma saaana siku ikifika jamvi hili litabaki leupe na wengine kufa mke au mume wa mwenzio ndiyo malaya akiwa kwako sio malaya ni mfumo tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Musa: Miaka 51 ya Kenya, Miaka 54 ya Tanzania

    Tanzania haki ya mungu tutakufa na huuuu ukanda huuuu ukanda tusipokuwa makini maaana Arusha, kilimanjaro watatumaliza haki ya mungu jamani haya ngoja tuone
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Musa: Miaka 51 ya Kenya, Miaka 54 ya Tanzania

    Mabadiliko yatakujaje wakati wakina lowassa wanachukua pesa wanawanyang'anya wananchi mashamba yao wanajiuzia Ranchi za ng'ombe na kadhalika, wakipanga kilicho chema wao hawatekelezi ili tu ionekane chama fulani kimeshindwa ili waweze kusema
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Ukawa wachukue dolla kutoka kwa nani? Hivi mtu mwenye miaka hamsini na wewe mwenye mwaka mmjoja nani? Ana faida ya kuijuwa dunia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Nanyamba kupitia CUF ashindwa kurudisha fomu, CCM wapita bila kupingwa

    Hakuna mgombea wa chadema aliechukua fomu hivyo wa ccm kapita kwa goli la mkono
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kusema Lowassa ananunua watu ni kuwadhalilisha Watanzania

    Kweli mwenye macho haaambiwi tazama wanaosema miaka hamsini ccm haijafanya kitu naona landa huyo kazaliwa jana na amekuwa kama embe, maana hajuwi hapo mwanzo kutoka kijijini kwao mapa kufika mjini bongo alikuwa anachukua siku ngapi na leo anachukua siku ngapi? Alafu miaka 50 ya ccm ambayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Yaaani kweli mtoto mzuri ni wako ila wa mwenzio ni mmbaya, mtu akikatwa chadema ndiyo hospital
  14. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Kilichomsikitisha democrasia ndani ya ukawa imevurugwa na chadema maana makubaliano ikikuwa vyama vyote vitoe wagombea baada ya hapo halmashauri kuu za chama zikutane achaguliwe mgombea mmoja sasa badala yake chadema wamemsimamisha lowasa bila ya halmashauri za vyama havijakaaa kuna nini hapo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Jamani hamjaangalia ITV usiku huuu kauli ya mbowe na naibu katibu mkuuu visiwani
Back
Top Bottom