Swali:
Baada ya kupiga Kura tume imeagiza wananchi waondoke kwenye kituo cha kupigia kura wakati baada ya kuhesabu msimamizi anatakiwa kutoka nje na kutangaza matokeo.
Je msimamizi atawatangazia akina nani wakati hakuna watu?
Tutakula nao sahani mojaAmri kutoka juu na usipotii utapigwa tu maana #hapanikipigotu
Swali:
Baada ya kupiga Kura tume imeagiza wananchi waondoke kwenye kituo cha kupigia kura wakati baada ya kuhesabu msimamizi anatakiwa kutoka nje na kutangaza matokeo.
Je msimamizi atawatangazia akina nani wakati hakuna watu?
Ukawa mdo hawaruhusiwi ila watakuwepo wana CCM.
Alafu sasa kama umeandikisha katika eneo ambalo huishi utapiga kura ya mbunge na raisi Diwani imekula kwako
utapiga kura ambapo umejiandikisha haijalishi unaishi au uishi...
ila hii ni hatari watu watapiga kura zaidi ya mara 1.... bao la mkono kama ndo hivo...umetumwa kuja kupotosha au kusoma hujui? ndio akili za kiccm hizi? kura unaweza kupiga hata pale ambapo hujajiandikisha kumchaguwa Rais.
Wewe umeanza kupiga kura mwaka gani? huu ni utaratibu wa miaka yote, sasa hivi tunataka na Watanzania waliopo nje ya nchi wapige kura huko huko walipo, mnatiana hofu ambazo hazipo.ila hii ni hatari watu watapiga kura zaidi ya mara 1.... bao la mkono kama ndo hivo...
Mkuu umenichekesha unafikiri kama ingekuwa kweli unaweza kupiga popote unafikiri kwanini kila kituo kina idadi ya wapiga kura na kuna uhakiki? Kura zote zinapigwa pale ulipo jiandikisha tuuu! Mkuu ina maana hujawai piga kura? Hakuna kitu kama hicho kafatilie kama mimi nasema uongo niko tayari kupata ban la mwezi mzima!umetumwa kuja kupotosha au kusoma hujui? ndio akili za kiccm hizi? kura unaweza kupiga hata pale ambapo hujajiandikisha kumchaguwa Rais.
Matola ndugu unapotosha hakuna atakaye ruhusiwa kupiga kura kama hakujiandikisha mahala husika....! Kila mtu atapiga kura kituo alicho jiandikisha...na mnatakiwa kwenda kuhakiki majina yenu siku nane kabla ya uchaguzi! Fatilia kwanza kabla ya kuandika...! Hakuna vituo nje ya nchi.ila hii ni hatari watu watapiga kura zaidi ya mara 1.... bao la mkono kama ndo hivo...
Swali:
Je msimamizi atawatangazia akina nani wakati hakuna watu?
umetumwa kuja kupotosha au kusoma hujui? ndio akili za kiccm hizi? kura unaweza kupiga hata pale ambapo hujajiandikisha kumchaguwa Rais.