Recent content by mbayaaa

  1. M

    Kibonzo: Hali ya Profesa Lipumba ofisini Buguruni inatia "huruma"

    Duuuuuuuuuu! Ha ha ha ha haaaaaa ! Nimecheka sana leo! Bila ubishi hii ya prof ni ya aina ya pekee Duniani. Mhh kazi kweli kweli.
  2. M

    Sifa kuu unazotakiwa kuwa nazo ili uteuliwe na Rais Magufuli kushika wadhifa wowote

    Ni mawazo yako au mh. Rais kakupa izo sifa ili uje utuhabarishe?
  3. M

    Wabunge wawili wa CHADEMA wasimamishwa, ni Susan Lyimo na Anatropia

    H Mhh mbona Mimi naona kama double standard vile! Nakumbuka waziri wa elimu hivi punde alisema kuwa "wanafunzi wa UDOM SPECIAL COURSE" Waliludishwa nyumbani kwa ajili ya mgomo wa wakufunzi. Mbona Kamati na naibu Spika hapa walipatwa na Ubaridi? Au waziri akisema UONGO n rusksa? au n mm sioni...
  4. M

    Eliakim Maswi aondolewa TRA na kupelekwa Manyara kuwa Katibu Tawala Mkoa (RAS)

    Kuna mwana jf anaejitambulisha Kama TAJIRIJASIRI tar 14/12016 alipost thread yenye title "Maswi asipoangaliwa ataiharibu TRA, kuna watu wengi walibeza lkn leo JPM kamwangalia na kumweka sawa Maswi. Na katika post hiyo alimgusia prof. m.Je wembe wa JPM unaweza kumwangukia Prof. M?
  5. M

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    hizo ndo rangi za siasa,nafikiri kufikia oct 2015 tutaona rangi nyingi hasa zile ambazo hatujawahi ona.tuombe uzima.
  6. M

    Madaraka na mipaka ya bunge la katiba la tanzania

    Mkuu nakubaliana na ww 100% n vizuri wabunge wa maalam wakalitambua hilo lkn pia hata wananchi nao wanapaswa kulijua hili ili pale bunge litakapoenda nje ya madaraka yake wajue cha kufanya. leo asubuh nilikuwa nasoma maoni ya dr kigwangala na kushaangaa sana juu ya maswali 3 ambayo Dr...
  7. M

    Vijana na mawazo potofu juu ya CHADEMA

    Na bado! Mtapanga sana point mwaka huu, je unamaana hata huyo zito wako ana mawazo potofu? Kwani tumemwona akienda mahakaman ili abaki kwenye chama ambacho ww umekidharau
  8. M

    Hotuba ya Dr. Slaa Marekani ilivyotukuna tunaweza kuilinganisha na ipi ya Rais Kikwete kimataifa?

    wow! Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna nchi na hata mtu anaeweza kuendelea kwa kutegemea kusaidiwa material things au fedha
  9. M

    Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

    Japo ni maelezo mengi nahic kama kuna kitu ulitaka kumsaidia Mh Sugu, lakin kwa lugha uliyotumia m naona kama ulidhamilia kumtukana na kumdhalilisha mbunge ambae kwa kipindi husika aliaminiwa na wasomi na wasio wasomi wa jimbo la Mbeya. Nafikiri hata wana jamvi wenzangu watakubaliana nami...
  10. M

    Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA

    Thread hii haioneshi hata 0.00000000001% kuwa ww n mwana chadema. waache wenye chama chao waendelee na mambo yao. Hayo ndo matumiz yao acha kuzubaisha watu.
  11. M

    "Tundu Lissu anapojibu anachokiita upotoshaji kwa kufanya upotoshaji zaidi!"

    Nafikiri nimeachwa kidogo naomba ufafanuzi ivi ni lisu ndo amepotosha na kusigina katiba au ni kamati kuu ndo imepotosha na kusigina katiba kwa kutoa maamuzi bila kuzingatia katiba ya chama chao? mawazo yangu nilifikiri Lisu na Mnyika walisema/kutangaza yale yaliyoaziwa na kikao. JE? ni...
Back
Top Bottom