Recent content by Mbavu mbili

  1. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwema hapa ndani? Kitambo sana
  2. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji kutokana na kasi ndogo ya maji. DAWASA wafafanua

    Mimi hapa Malamba mawili sijapata maji bombani kwangu tangu mwaka 2023 mwezi wa pili, Kiukweli tunateseka sana. Kibaya zaidi kumekuwa na majibu ya kiss asa yasiyokuwa na mwisho kutoka Kwa Meneja na viongozi wa idara ya maji pale Kibamba. Inashangaza, Malamba mawili tunakosa kabisa maji, lakini...
  3. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Pale Muhimbili manyanyaso ni mengi sana, gari hazifiki Kwa wakati, unasimama kituoni hata lisaa limoja. Majibu ya wakata tiketi hauna chenji kamili hupati huduma, lugja za hovyo na ubabe. Kuna dereva mmoja anatukana mpk abiria. Watu wanajazana mpk unaogopa, sijui tunaelekea wapi? Madereva...
  4. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF wanatoza gharama kubwa kubadili kadi chakavu?

    NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa. Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu. Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
  5. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chief nilikuomba Jina la hii App lakini hukunijibu, nitag tafadhali
  6. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jina la App tafadhali mkuu
  7. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani hii boss?
  8. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kibamba wakaazi wa Malamba mawili hatupati maji, tumewakosea nini?

    Licha ya kutumia gharama kubwa za kuvuta maji majumbani mwetu, WAKAZI WA MALAMBA MAWILI (zone 10) wamekuwa wakiishi kwenye mateso makubwa sana ya maji. Huduma hiyo haipatikani kabisa, wakati mwingine zaidi ya mwezi maji Huwa hayatoki. Unapowaailiana na injia wa maji na watendaji wamekuwa na...
  9. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shalom wawekezaji wenzangu
  10. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu naomba tag kwenye hockey, leo almanusura
  11. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    E bwana Kuna mdau alituma codes za Hockie hapa asubuhi, nimeona Yuko vizuri, naomba anitag pls,
  12. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Skrill waondoa limitations kwa mastercard

    Sina hamu na Equity bank, nililazimika kupondaponda kadi Yao. Paundi 150 wao walikula 50 za juu 😭😭
  13. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Nahitaji, naomba nilink mkuu, hata DM Kama hutojali
  14. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Msaada wapi naweza kupata like ya Safaricom
Back
Top Bottom