Recent content by Mbatamo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Volkswagen yaweka sokoni magari yaliyotengenezwa nchini Rwanda kwa mara ya kwanza

    Ndungu yangu ; wewe ni umtanzania nafikili umefanya nini kwa taifa lako, unafanya nini kutumia utajiri wa Tanzania maana tunakila aina ya utajiri upo kujiendeleza mwenyewe na familia yako inayokuzunguka ; yaani wewe mwenyewe umetumia vipi utajiri huu wa Tanzania kujiendeleza ; unapata ujasiri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wawekezaji wakichelewa kufanya mazungumzo na Serikali nitafunga migodi yote nchini

    usiumie sana mkuu, hata wakati wakudai uhuru NYERERE alikuwa akienda UN kudai uhuru ,akigeuza tu wengine wanapanda ndege kwenda kupinga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    Kuwa na akiba ya maneno , Tanzania ni yetu sote
  4. M

    JamiiForums Tanzania MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Kabisa , mbona watumia mafuta ya taa walitolewa kafara wakati wa uchakachuwaji....
  5. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    wewe unaupeo wa sisimizi
  6. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Hata wakati wa ukoloni waafrika ndiyo waliokuwa wanauza waafrika wenzao , lakini pia kuna wakina Mkwawa walitokea katika kipindi hicho hicho
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    acha mkurupuko, acha serikali ifanyekazi yake
  8. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    viumbe wabaya sana, wameshilikiana na vibaraka miongoni mwetu, wameua sana watu wa Tarime , bora madini yachimbwe na wachimbaji wadogo wazawa 4% ndiyo nini, vibaraka walioshilikiana nao ilitakiwa wapigwe hazarani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    ndiyo maana tulitawaliwa kumbe ! wewe ni wa wapi??, wewe ni Mtanzania kweli??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Burundi yashutumu Rwanda kwa kuunga mkono waasi

    GENTAMYCINE umechemka mbaya, uwezo wako wa kufikili na kutenda unanipa shaka kabisa, wenye busara lazima wakupinge, umefanya kosa kubwa sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rwandan bid for Kagame third term undermines democracy: EU

    Tufanye yetu, ya wanyarwanda mambo yao ya ndani waachiwe Wanyarwanda wenyewe, hatima ya Wanyarwanda ipo mikononi mwao wenyewe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Wewe ndiye mjinga kabisa, telecom business ni private and government as well, why TCRA then kilaza wewe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Tanzanians Get Taste of Kagamecracy Made in Rwanda, and Loving it

    Mtu hapimwi kwa ukubwa wa Mwili, bali akili, sawa sawa na nchi, hakuna kuleta kisingizio cha ukubwa, tuchape kazi , Rwanda wanaendelea siyo kuwa ni ndogo ila jamaa wameamua kuchapa kazi, hakuna usungura sungura
Back
Top Bottom