Recent content by Mbarikiwa Mollel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kweli mkuu, wanakula matapishi yao..!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kwani hakuna hukumu inayotolewaga bila mlalamikaji/mshtakiwa kuwepo..!? then kwanini asikate rufaa? unajua nyinyi mbwembwe,majigambo,kelele nyingi zisizo na mpango, leo sijui eti amekabidhi gari la taka..!? miaka 4 ya uongozi hapo hai alikuwa wapi? imebaki miezi 3 ndio anakuja na gia hiyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kuna tusi lolote umeona? sheria inasema anakosa haki ya kugombea kutokana na uzembe alioufanya sasa wewe sijui na wakiwa wenzio mnatetea upuuzi alioufanya kiongozi wenu, kisa mahaba niue:what:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Ujue unafuata mkumbo rage hakumtishia mtu bastola bali alipanda jukwaani bastola ikiwa inaonekana na wananchi kwenye kampeni, huyo unayemtetea wewe alimpiga mtu makofi sijui upo:what:
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kuna hoja ya kujibu hapo? we unatetea uhalifu ukiambiwa ukweli jibu hoja ipi:what:
  6. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

    Bado miezi mitatu uchaguzi ufanyike, miaka 4 yote alikuwa wapi? eti mfano wa kuigwa, na kupiga wasimamizi wa kura pia ni mfano wa kuigwa? achana na ushabiki wa kipuuzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Sio utani mkuu, kwanini atumie uyunani kutukana mtu? amtukane yeye lemutuz kama lemutuz sio achanganye na udini, afute hiyo kauli mara moja..!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sifa, shobo na usharobaro vyamtokea puani mwanafunzi wa UCC Mbezi beach mbele ya wajeda leo

    Vp wewe unaejua sheria umfatilie huyo dogo ili ufahamu hali yake na pia uwaeleze hao wanajeshi waache ujinga uone nini kinafuata..!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Scania na Bodaboda barabara ya Mandela karibu na hostel

    Yeye alimtazama akapita kando..!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

    Hapo viroba na mbege vilishatawala ubongo..!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

    Ukiwa na nafasi ukafanya siasa raha sana..!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro CJK; Haya ndiyo tunayosubiria toka kwako kama rais wetu mtarajiwa

    Umeambiwa hii nchi ni ya kifalme au:what:
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kero Idara ya Maji Arusha

    Mbona naogopa maana na mimi naitaji hiyo huduma..!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Godbles Lema na Lema Amin

    Usafi wake ni kwako labda anakulisha na kukuvisha, kama ni uongo itajulikana na ukweli hivyohivyo, Richmond, Escrow zilianza tetesi mwisho maji yakamwagika..!!
Back
Top Bottom