balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,153
hapo mwigulu anatenda kama wote tunavyotenda hakuna jipya hapo sema mwanasiasa mufilisi kila kitu anafikiri kitampa credit kisiasa.huyo hata kufunga nepi hawezi na akiona mavi ya mtoto tayari anaita Dada.achana na wanasiasa wasio hasa.