Kwa nini ikuambie baadae
Kwani unaoa kwenye giza au siku hiyo hiyo ukitongoza usiku unabeba usiku huo huo
Duuh vijana wa mwendo Kasi ndiyo maana mnalia lia hadi wanawake wanawazidi akili
Acha mpigwe tuu akili mmefungia stoo yaan unashidwa kujua mwanamke mwenye mtoto
Hayo ndiyo madhara ya...
Duuh kumbe mke wa mtu kabsaa
Kwa hiyo mechi inaanza 1-0
Tayar mwezako ameingia na goli moja uwanjani
Tafuta mke wako uoe kijana acha kudandia wake za watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.