Recent content by mbararway

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

    Sasa na Hawa vodashop morombo ni waizi na wanabaraka zote kutoka vodacom ? TCRA angalieni wananchi tunaibiwa na Hawa vijana wanao fanya kazi morombo vodashop.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

    Hata Vodacom Tanzania wamekuwa waizi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

    Hawa vodashop morombo ni zaidi ya waizi. Hawaogopi wala hawana haya. Wanakupiga hapo hapo hata kabla hujaondoka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

    Ila na wa oromo muache kubebana sana. Itakua mnaiga tabia za kitigrey.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

    Kwa hiyo ni halali watigrey wa Tz kutuibia?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

    Kuna vijana wanao fanya kazi vodashop morombo ni waizi wa kutupwa. Unatoa laki moja wanakupa noti tisa za elfu kumi na noti moja ya elfu mbili. Unapo hesabu unawaambia mbona umeniwekea noti ya elfu mbili na si elfu kumi, watakwambia sisi si wajinga tumekupa hela zako kamili. Pia kuna watu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

    Mambo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Una roho ngumu wewe binti. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Amekipata anacho tafta au bado? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Ongezea na kibamia new model Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Nia yao wanataka kumsifu dr mapapai tuh Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Italia: Kwa siku ya leo watu 651 wamefariki, Pia Kansela wa Ujerumani yuko karantini

    Mafua Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Kuwa muwazi kuwa unakodisha. Acha kupita njia refu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Unafanya ukahaba kisha unakuja kusimulia watu! Huna haya wewe mtoto wakike? Huna wazazi au hata ndugu? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Makahaba huwa hayajui yapo kanisani au mskitini, ni kwaresma au ramadhani. Yenyeewe yanataka kukodisha miili yao tu. Tena siku hizi hayana aibu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom