Recent content by mbarakamsati

  1. M

    Matangazo ya BBC Swahili na Sauti ya Ujerumani mbona siyapati siku hizi kwenye Redio

    Ndgu hizo media Kama Dw ,Bbc, VOA nk ni za umma( public ) hazifanyi biashara ya matangazo yoyote kwa asilimia 100 zinaendeshwa na serikali zao husika mambo ya mishahara na gharama zingine zote huwa zinalipwa na serikali zao kwhyo hawana matangazo kabisa hata TBC ilitakiwa isiwe na matangazo kwa...
  2. M

    Wimbo wa ''Tazama Ramani'' ulitungwa na nani?

    Wana jamvi lazima mujuwe utofauti wa wimbo wa taifa Yani mungu ibariki Africa /mungu ibariki Tanzania hiyo ni dua/ maombi maalum ya kuliombea taifa ndiomaa anatajwa Mungu.ingqwa serikali haiamini mungu lakini wanao ongoza na wanao ongozwa na hiyo serikali wanaamini mungu ,na ndiomaa mwisho wa...
  3. M

    Sijawahi kusikia mtu akiongea lugha ya kizaramo

    Mm ni mmoja wa hilo kabila lugha tunayo ila wengi hatujui kuongea na imeathiriwa Sana na kiswahili huwezi kuongea mananeno10 bila kutia neno la kiswahili na lugha hii kwa Sasa au tangu mm nakuwa tumezowea kuona na kuwasikia wazee ndio wakiongea peke yao Yani ma Bibi na mababu kwhyo hiki kizazi...
  4. M

    Mpwapwa, Dodoma: Ahukumiwa kwenda jela maisha kwa kumkata kidole mkewe

    Adhabu Yake sio sahihi naimani akikata rufaa anasuinda mapema kabisa inaonekana Hakimu katoa hukumu kwa mhemko na Wala sio kufuata Sheria
  5. M

    Fatma Karume ni mwanasheria asiyezifahamu sheria

    Mbona hiyo Sheria yenuewe hujaitaja kwa jina ni Sheria gani na inaitwaje ? Umetaja miaka tu hapo ,sitetei ushoga ila sikubaliani na wwe unaposema Fatma hajui Sheria hapo umepotoka Sana tu Fatma ni rais wa Wana Sheria wote Tz
  6. M

    Nini maana ya neno shoga???

    Anaefanya haitwi shoga ila anaitwa mende au Basha ,anaefanyiwa ndio anaitwa shoga
  7. M

    Bin Salman: Atang’oka, hatong’oka? Raia Mwema Oktoba 23, 2018

    Uzi mzuri Sana natamani uendelee ,kiufupi huyu mtoto hana tofauti hata kidgo na yule chizi wa Korea kaskazini ,ila wamarekani ndio waliempandikiza pale baada ya kumwandaa kwa mda mrefu Sasa ameanza kuwaangusha mapema kabisa
  8. M

    Tambua: Watu wanaotembea na ving'ora Tanzania

    JK ,sio jaji mkuu ni jaji kiongozi Jaji mkuu ni CJ
  9. M

    Kwa dunia ya sasa, Gari ni moja ya hitaji muhimu sana kwa binadamu

    Mtoa mada umeongea point kwa asilimia 100 ,anaeona mbali atakuunga mkono ila asieona mbali ata kukosoa ,ila kwa upande wangu naunga mkono hoja kwa asilimia 101 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Mfahamu mchawi aliyekoswa na kitanzi mara 3

    Kka kama imeishia hapo basi twambie tunataka kujuwa mwisho wake hdi anaachiwa huru kutoka gerezani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    ZANZIBAR: Askari matatani kwa kumbaka mlemavu

    Wakati ana mbaka hdi anapata mimba wtu wengine walikiwa wapi ? Kwa maoni yangu naona walikubaliana na kwakuwa yupo above 18yr na sio mwanafunzi basi hakuna kosa la jinai hapo kwani hata mlemavu anayo haki ya kushiriki tendo la ndoa pia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Je, Polisi katika nchi za kiislam wana vikosi vya mbwa? Kama jibu ni ndio, kwanini wakati mbwa ni haramu?

    Kwa mujibu wa dini ya kiislamu Mbwa sio haramu ila pua yake ndio haramu iwapo atakunusa au kukugusa na pua ila sehemu zingine zote za mwili wake sio haramu kwhyo sisi waislamu tunakatazwa kunuswa au kuguswa na pua ya mbwa ila hatukatazwi kufuga mbwa ,waislamu wengi duniani wana fuga mbwa ,na wwe...
  13. M

    Saudi Arabia: Hujaji wa Tanzania afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Hiyo ni bonge la bahati kufia ktk ardhi tukufu peponi direct Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Serikali yamtelekeza aliyepigwa risasi na Askari Magereza kwa bahati mbaya

    Uchunguzi unafanyika vipi wakati mtuhumiwa bdo hajakamatwa? Yye yupo juu ya sheria ? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom