Recent content by mbalizi1990

  1. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    Hakika hii naunga mkono kwakweli upinzani na maana ya upinzani kwa taifa letu ni tofauti wanaombea watanzania tuteseke ili watafute kiki hii haijakaa vyema
  2. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania PICHA: Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni

    Hahahahha huo ndio wanaosema uathilika wa siasa! Hugo kushika nchi labda Kenya Tanzania hawezi Pia hebu Tujalibu kutafuta mpinzani wa kushindana na Ccm Ccm ni taasisi Chadema ni saccos Wapi na wapi
  3. mbalizi1990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanaume ninayempata namkifu mapema

    Duh!
  4. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

    Duh ila kweli jamaa wanapenda sana kiki kwa ajiri ya kupaisha chama chao tu! Si kuwa na uchungu wa dhati wa kumlilia sannane!
  5. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Kaka Yangu nchemba mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya nunda na aendelee na ununda wake Umeongea kwa hisia sana katika andiko lako Lakini kifupi Wanasiasa wametufikisha hapa tulipo Na pia nyie viongozi mmetoa Uhuru wa habari mpaka inakuwa ni takataka! Jaribuni sana kutufanya sisi...
  6. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    Hahahahhaha chadema ndio kwishiney hivyo Ubinafsi wa mbowe ndio tatizo kuu Anafukuza wenzie ili aonekane yeye tu
  7. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    Kachanganyikiwa huyo Badara ya kupinga kwa hoja anaongea viloba vitupu Mwaka huu mpaka kuisha 5years Mtaelewa tu
  8. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka Serikali iseme kama imemkamata Ben Saanane na kama haijamkamata iseme yupo wapi

    luckman Nakuunga mkono kaka kwa asilimia kubwa Shida kuu hapa tunajaa siasa sana Hata kwenye mambo yasiyostahili ushabiki wa vyama! Lakini hebu twende tu IPO siku watakuja kuelewa tu! Na kuhusu lema huyu alikuwa anatafuta kiki na sasa yamemfika! Alizoea kumuonea jk Na kusema anacheka Cheka...
  9. mbalizi1990

    JamiiForums Tanzania Kipi kinakuchanganya kama hii picha?

    Duh kama nimelewa vile hii picha?
Back
Top Bottom