Recent content by Mbalinga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    Utafiti sahihi wa kukubalika ni kupitia sanduku la kura. Sasa nenda kwa hao wana CCM kawaambie wakubali uchaguzi huru na wa haki ili tuthibitishe hicho unachodai ni itafiti wako. Waambie polisi wakae mbali na masanduku ya kura tuthibitishe hicho unachokisema.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia, umefeli sana sana sana, unajiwekea record mbaya sana, dalili zinaonyesha kuwa ukombozi wa Tanzania na hasa Tanganyika utakuja chini ya utawala wako. Huwezi ukaanza kufunga watu na kuwabambikizia kesi ukabaki salama, haiwezekani labda Mungu hayupo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Tanzania Wanafurahia Asali, Wanaojitambua Kenya Wanailambisha Sakafu Serikali!

    Huwezi kulinganisha siasa za Tanzania na Kenya. Tamaduni zetu ni tofauti Sana. Tulikuzwa kwenye ujamaa, wenzetu kwenye ubepari. Wananchi TZ walilishwa uoga toka mwanzo wa Taifa, hilo limekuwa tatizo kubwa. Mara ngapi wapinzani wametoa wito wa kuandamana na wananchi wakagoma kutoka. Ni watanzania...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uwazi na Ukweli': Mbowe awataje Viongozi wakuu wa Chadema wanaodai Yeye analamba asali Ikulu

    Kilicho nishangaza ni kuwa Mbowe alitumia nguvu kubwa mno kujitetea na kuwananga wanakosea amelamba asali. Ilitosha kuzungumza hilo kwa dakika tano na ikatotosha, lakini hilo lilichukua sehemu kubwa ya hotuba. Hilo linatuambia kuwa kuna kitu hakipo sawa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Katika Biblia kuna wakati Nabii Samwel alikuwa anamwombea mfalme Saul, Mungu akamtokea na kumwambia kuwa wala asipoteze muda wake kumwombea kwa kuwa Mungu ameshamkataa. Hivyo ndivyo ulivyokuwa ama ingekuwa kwa Magufuli kama watu wangemwombea. Mungu alikwisha mkataa, huwezi kukiuka haki za wana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nikiwa Jiji la Mbeya. CHADEMA na Sugu wasahau ubunge

    Jambo moja umesahau ama umefanya makusudi ni ukweli kuwa Mbeya mjini wakazi wake sio Wanyakyusa, lile ni eneo la Wasafa na Wanyakyusa wamefanya kukarinishwa tu. Huko Tukuyu na Kyela ndiko kwa Wanyakyusa. Kuhusu mgogoro hilo ni jambo la muda tu. Je ulifanikiwa kupima imani ya wananchi wa Mbeya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Siku mkuchika atakapokufa ndio utakuwa mwisho wa utawala wa ccm. Huyu mzee nadhani ndiye anashikilia hirizi ya chama, mbona yeye panga pangua yumo tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania ACT Maendeleo kabla ya kikao na msajili walihubiri katiba mpya baada ya kikao wanahubiri tume huru kulikoni?

    Labda nikuulize swali, Afica ya Kusini walipofikia makubaliano ya kuutokomeza ubaguzi wa rangi baada ya miaka mingi ya mapambano, ndani ya bunge lao kulikuwa na wanachama wangapi wa ANC? Hoja za ACT ni kama za vibaraka wa wakati huo. Shauku yao ni kuwa na uwakilishi bungeni hata kama ni kwa haramu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

    RIP
  10. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Aliogopa kutaja umuhimu wa katiba mpya kwani hizo njozi zikiwekwa kwenye katiba hapatakuwa na mtu mwenye akili timamu (sio kama hayati JPM ama Ndugai) wa kuzipindisha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

    Na hawajui kuwa huenda mama akaabadilisha kabisa baraza la mawaziri na kufuta kabisa nyayo za jiwe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

    La kuvunda halina ubani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unaacha kujijenga zaidi, kutathmini ulikokosea na kukiinua zaidi Chama chako unakimbilia kumlaumu Rais Magufuli

    Hapakuwa na Uchaguzi Tanzania kwa hiyo kusema kura alizopata Lissu ama jiwe ni upuuzi mtupu.
Back
Top Bottom