Recent content by Mbaha

  1. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Dah! I'm speechless!! Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  2. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    What a tragedy... I still feel a lump in my throat..
  3. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Ukitumbua majipu hakikisha na wewe huna lako

    What goes around... Comes back around...
  4. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    "Love ain't cost a thing"
  5. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Mmmm... What goes around.. Comes back around...
  6. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Pope Francis Africa, Tanzania imepigwa teke?

    Who needs him anyway??? Mungu katupa JPM hapa kazi tu!!
  7. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    Wa nini huyo scam bag??
  8. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Lowassa miaka 3, Sumaye miaka 10 Waziri Mkuu

    Kwa masikitiko nachoona ni mvinyo ule ule... Tofauti ni Chupa tu... I'm very disappointed...
  9. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Watu wanasahau kua hata ibilisi na malaika zake ni roho!!
  10. Mbaha

    JamiiForums Tanzania Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    Teh teh teh teh!!! What can be crazier than this?? Teh teh teh..
  11. Mbaha

    JamiiForums Tanzania DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Nani kakwambia?? Nenda kwa mguu!!! Wanasema "ugumu wa maisha ndio kipimo cha akili" Labda kwa hali hii tutapata akili ya kuamua vizuri hapo Oktoba...
  12. Mbaha

    JamiiForums Tanzania DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Nchi hii inahitaji viongozi ambao ni "proactive" na sio "reactive"!! Alikua wapi siku zote hizo wakati madereva wanatoa madai yao ya msingi??! Alikua anasubiri aone kama watagoma kweli eti??!! How pathetic??!!
  13. Mbaha

  14. Mbaha

    JamiiForums Tanzania DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Wanajisemea waswahili "Ukitaka kujua umuhimu wa makalio, kalia kichwa"!!
  15. Mbaha

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Mkubwa madereva hawadai mikataba ya kazi kutoka Serikalini. Wanadai mikataba ya kazi kutoka kwa waajiri wao yaani wamiliki wa vyombo vya usafiri. Wanadai mikataba itakayoweka wazi maslahi yao kama madereva. Kwa mfano masuala ya kwenda kusoma, Je, anapoenda kusoma ajira yake bado ataikuta...
Back
Top Bottom