Recent content by mbaghato chaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rubani msaliti apigwa risasi akiwa mafichoni Uhispania

    Acha uboya wew, sahiv hata kupata ajira serikalin inahitaji uwe na kadi ya ccm Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza waiondoa meli yake ya kijeshi iliyopo Bahari Nyekundu

    Inakuuma nini maisha yao?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

    Kwa mazingira haya na kauli zenu hakika chuki ni kubwa isiyo na mantiki, anyway basi waislam nao washangilie yule mchungaji mbeya aliefungwa bila sabab ya muhimu. Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

    Uko ktk usingizi wa pono sana, yaan hujui km serikali ndio mdau mkubwa wa ushoga? Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu hawana unafiki kwa watawala

    Mzee jiwe aliharibu uchaguzi 2019-2020 mbona walikaa kimya? Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Dkt. Slaa ni balaa watatoana damu

    Propagander
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    Toa ushahidi kuwa mashariki ya kati ndo inatengeneza hayo makundi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    Bila shaka uwezo wa akili yako ni mdogo ktk mambo kama haya yaache tu yakupite, maana jibu umepewa kabisa usa ananufaikaje lakin hujaelewa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Uk kuna makomandoo au mashoga?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mzigo unaenda africa port za west zinahusu nini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ango ha goi nolo gange nago?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bhebhe shi" hivi amawangatala gatale galiho mu si nange gashila?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ohooo, kumbe mtumwa wa tumbo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Una kiongozi gani makini tanzania?
Back
Top Bottom