Recent content by mbabazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Kwa level aliyokuwa amefikia bado anaweza kwenda mbali bila hata uDED, uteuzi umefanyika ana nafasi ya kukubali ama kukataa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Atachaguliwa kwenda A LEVEL?

    Mi mdogo wangu ana III ya 24 ila history kapata D na alikuwa anasoma arts, kuna matumaini kweli?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatari: Keko ni msitu wa majambazi,wezi na vibaka

    Makusudi yapi mkuu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatari: Keko ni msitu wa majambazi,wezi na vibaka

    Mtaa huwa unanoga vijana wakijichanganya wakamkaba askari magereza au mwanajeshi... Usitakejua habari yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hatari: Keko ni msitu wa majambazi,wezi na vibaka

    mbona keko imetulia siku hizi, ukiongelea suala la watu kunyamaza unapokabwa au watu kutotajana kwa polisi sababu kubwa ni kwamba hawa ni vijana wao. Vile wenyeji hawadhuriki na hizi mambo kwao inakuwa sio ishu
Back
Top Bottom