Recent content by Maziku-Winston Smith

  1. Maziku-Winston Smith

    1957 High School Debate about Prejudice: Nigeria, Ethiopia, Ghana & South Africa

    Mie bado siamini kama kweli hawa ni teenagers. The girl from South Africa is a walking conundrum to me, a clear cut example of how social institutions pushes people towards lines of thinking and doing that is contrary to the ideals of humanity.
  2. Maziku-Winston Smith

    Vijana tuweni makini na tuache tamaa za kijinga

    Sasa hapo ishu ni tamaa au imani potofu na ujinga?
  3. Maziku-Winston Smith

    Kwanini Vijana wa Tanzania hawajitumi kwenye maisha tofauti na Vijana wa Nigeria na Kenya?

    Tatizo unajipa majibu mepesi sana katika swali gumu. Weka facts mezani hapo tujadili acha maneno matupu.
  4. Maziku-Winston Smith

    Maoni ya Reginald Mengi kuhusu mishahara kwenye utumishi wa umma

    Dhana ya kwamba serikali ikipandisha mishahara itapelekea bei za vitu kupandishwa(inflation) inamaanisha kuwa uchumi wa Tanzania hauna ushindani(uncompetitive). Kwa hiyo Raisi Samia anakiri kuwa serikali yake imeshindwa kusimamia uchumi imara na wenye ushindani kwa sababu wazalishaji wachache...
  5. Maziku-Winston Smith

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wilaya; Kinondoni Simu; 0759218987 Mita no: 04134167768 Tatizo: Kuna phase kadhaa za ndani ya nyumba yetu umeme hauwaki. Tumevheki power circuit breaker ya ndani na nje ipo sawa.
  6. Maziku-Winston Smith

    Mwaka 1 tangu tuwe kijani, hali yako ya kiuchumi ipo vipi

    Na uonevu wote unaofanywa na dola za ki-Afrika kwenye nchi kama Misri, Sudan, Congo, Tanzania, Cameroon n.k kwa wananchi wao unawezaje kukataa kuwa serikali hazichangii kuwafukarisha wananchi? Kila kukicha wananchi wanaporwa ardhi zao, wanaharibiwa mazingira yao na uchimbaji holela wa madini...
  7. Maziku-Winston Smith

    Computer Analyst/Programmer (entry level) – 4 Posts at Bank of Tanzania (BOT)

    Hivi maombi ya kazi yanapelekwa benki kuu moja kwa moja au yanatumwa kwa njia ya Posta?
  8. Maziku-Winston Smith

    Nafasi ya kazi: Business Manager

    Nitumie CV yako kwa namba yangu ya Voda au email: mazikujohn95@gmail.com
  9. Maziku-Winston Smith

    Nafasi ya kazi: Business Manager

    Anahitajika mtu mwenye fani zifuatazo; -Bachelor's or Master's degree in Business Administration and Management -Bachelors or Master's degree in Management Experience: not less than 2 years Remuneration: good negotiable package
  10. Maziku-Winston Smith

    Nafasi ya kazi: Business Manager

    The business deals with workshop tools.maintenance tools including construction materials, safety wears, cutting disc and so on. Location: Oysterbay, Dar es salaam
  11. Maziku-Winston Smith

    Nafasi ya kazi: Business Manager

    Habari zenu, Natafuta mtu anayeweza kufanya kazi ya business manager mwenye uzoefu usiopungua miaka 2 About business: The business deals with workshop tools, maintenance tools including construction materials, safety wears, cutting disc and the like. Qualifications: (1) Bachelor's and...
  12. Maziku-Winston Smith

    Masomo 21 Kwa Ajili ya karne ya 21: Ukweli Kinyonga, Kuna Ukweli Bandia Unaodumu Milele

    Nimependa ulivyotafsiri. Halafu nahisi hiki kitabu hakijatafsiriwa chote kwa Kiswahili. Ningependa kujua kama una mpango wa kufanya hivyo.
Back
Top Bottom