Recent content by Mazee

  1. Mazee

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

    Wanajukwaa hebu tazameni hii nimeitoa huko kwenye wavuti ya mbeya yetu; Naamini mnajua kusoma..... MHESHIMIWA NDG. ABAS KANDORO, KAMA MKUU WA MKOA NA MWAKILISHI WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE MKOA WA MBEYA, TUNAPENDA KUSOMA MBELE YAKO TAMKO RASMI...
  2. Mazee

    JamiiForums Tanzania Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    sasa wewe ndio inaendeleza mawazo mafupi. Kwa nini msijihesabu nyie wenyewe hadi muilazimishe serikali iwahesabu.mi nafikiri uwezo wa kujihesabu bado mnao sio mpaka msubirie sensa ya taifa na kuamua kuingiza vipengele vyenu vya udini ambavyo havijengi. Yaani hata kujihesabu hamuwezi...
  3. Mazee

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

    usiwe mpuuzi wewe kikwete amesoma na kutibiwa katika hizo facilities za kikristo na ikiwezekana baba kama alibahatika kusoma lakini? Usitumie masaburi kufikiri
  4. Mazee

    JamiiForums Tanzania Madaktari waliofukuzwa na Jakaya Kikwete Marekani hakuna wa kutosha!

    nimewapenda wajumbe mliochangia hii thread candidiasiscope aliongea kwa command wakati hajui duh......
  5. Mazee

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu wakati shule zimefungwa

    tarehe tatu si ni wiki ijayo au? Kama ndivyo basi hamuonekani kuutangaza vizuri huu mgomo wenu mkuu.... Je huu mgomo ni kwa ajili ya walimu wa sekondari tu au? Pia walimu mtaaminika pale mtakapoacha kuongea na kuwa practical kwa jinsi tulivyowazoea walimu tunajua tu kuwa haya ni maigizo...
  6. Mazee

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu wakati shule zimefungwa

    najaribu kutafakari hapa kuhusu huu mgoomoo wa walimu nasikia kwanza kwa sasa shule zimefunga na wanaoenda shule ni wanafunzi wa darasa la saba tu na imefanywa hivi ili kuruhusu zoezi la sensa ambalo kwa kiasi kikubwa walimu ndio the machinery kubwa inayotumika ili kufanikisha halafu viongozi...
  7. Mazee

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuimaliza NCCR, Marando sasa aanza na CHADEMA

    uzi huu hauko focused kabisa eti labda utufafanulie nini dhumuni lako mkuu kuanzisha hii thread?
  8. Mazee

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    kijana dharura zilikuwa attended kipindi cha mgomo tambua hili sawa mkuu
  9. Mazee

    JamiiForums Tanzania Hali muhimbili sio shwali,mgomo baridi umechukua sura mpya

    duh we inaonekana unapenda vya bei poa du haya nenda kweli kapate huduma si unasema zipo au....sasa ya roho ya mbaya yanatoka wapi
  10. Mazee

    JamiiForums Tanzania Madaktari waanza kuikimbia nchi..

    nchi hizi ambazo hawa madaktari wengi wanaenda angalau wananchi wao wengi wanaongea kiingereza sasa hawa wairan wakija hapa bongo watakuwa wanatibia wanaojua kizungu au kiarabu tu au?fikiria hapa! Huko wanakoenda mazingira ya kazi yameboreka kulinganisha na Bongo ndugu! hata hapo rwanda tu...
  11. Mazee

    JamiiForums Tanzania Madaktari waanza kuikimbia nchi..

    Inauma lakini tujiulize kwa nini wanaondoka leo moja, ni kutokana na mlolongo wa matukio migomo kutaka maslahi bora kwa kila mtanzania /uboreshaji wa huduma za afya unawagusa watanzania wote hata mafisadi kwani ndugu zao hutibiwa humu humu nchini/ daktari akilipwa vizuri hakika kazi yake...
  12. Mazee

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu...

    Inaonekana kwanza huelewi utendaji kazi katika sekta ya afya unakwendaje VIFAA VYA MAHOSPITALINI NA WANAOHUSIKA KUVITUNZA Vya theater hutunzwa na watu wa theater -kazi ya daktaari hapa ni kwenda kufanya operesheni tu... vya maabara hutunza na watu wa maabara pia-daktaari huagiza vipimo tu...
  13. Mazee

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu...

    @ Bishanga pole mkuu never mean to annoy you point taken.....ila we can change a lot of things positively kama tutaamua kushirikiana na ku take charge na si kuwaachia hawa waliowakamata jamaa waliomtesa Dr Ulimboka.....
  14. Mazee

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Moto: Hakuna dharau mbaya kama ya kudharauliwa akili

    malafyale nimeipenda ukweli mtupu
  15. Mazee

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya azidi kuikoroga CCM aandika kitabu kuelezea rafu na rushwa ndani ya chama

    kama mwana ccm ameamua kuuchana huo ubovu kwa kitabu maana yake ukweli wake utabaki milele labda watu waamue kuharibu vitabu vyake vyote big up to him to me he is so smart and courageous
Back
Top Bottom