JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

unapopewa kazi ni lazima uikamilishe la si hivyo unakuwa umeenda kinyume na amri,adhabu inayofuata ni.......
Naamini wote waliohusika kumteka,kumtesa na kushindwa ku-terminate maisha ya ulimboka watapotezwa for the sake of national security.
 
Kwa kweli watu wanaotibiwa US na Germany wameweka chuki kubwa sana kati ya polisi na madaktari. Akili ya kawaida tu ilitakiwa kuwa hawa madaktari haitakiwa kuwa contain, maana wana upper hand in one time of our lives, they needed to be unleashed and pursuaded to gain their trusts. Leo hii ninakuhakikishia watu watakuwa wanaogopa kusema kama ni askari polisi au wanahusiana serikali katika masuala ya usalama wanapokuwa wagonjwa.

Kuna usemi, 'angenda juu kipungu hafikirii mbinguni' sasa mtu unaumwa then bado una wasiwasi na waokoaji wa maisha yako ni kujizidishia ugonjwa. Mimi wito wangu kwa madaktari ni kuwa 'Adui mpende', usilipize kisasi kwani tunafundishwa kuwa 'anayekufanyia ubaya usimlipe ubaya mlipe wema ili akajiulize saba mara sabini'.
 
walio husika wote kwenye ishu ya kumteka ulimboka kwa kuwa lengo na dhamila yao ilifeli sasa wao ni lazima wauwawe kwa njia yoyote ile kama ambavyo ulimboka anasakwa ili wammalizie mbali. Wajitahidi kumtibu na kumlinda asife mpaka aanike uozo wao walio watuma kumfanyia unyama dr ulimboka
 
''mm sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena cku hyo mm ckuwepo'.. David Mapunda

OC CID Kawe (Mkuu wa Upelelezi) David Mapunda amepata ajali ya gari akiwa amesimama nje ya gari lake (gari lilitokea na kumgonga). Amevunjika pelvis na licha ya jitihada za kukwepa kupelekwa Muhimbili alijikuta anaishia mikononi mwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Vyanzo vya ndani vya Intelligensia iliyokuhubu vinadokeza kuwa Afande huyo wa polisi amejikuta aki"sema" mengi kuhusiana na "kutokuhusika kwake" na tukio la utekaji nyara, kuteswa na jaribio la mauaji ya Dk Ulimboka.

Kwa mujibu wa "Nzi" ambaye amekuwa akiendesha uchunguzi "mbadala" wa kukusanya intelligensia ya suala hili:

Kumekuwa na doria za kila mara ndani na sehemu mbali mbali za wodi za MOI mpaka staff wamefikia kulalamika juu ya hilo japo maaskari hao wamekuwa wakijibu kwa jeuri kwamba wapo kazini.
Ndugu na jamaa wa afande huyo wamekuwa hawana amani kwa hofu kwamba ma-dr wanaweza kulipiza kile alichofanyiwa mwenzao Dr. Ulimboka. Kumekuwa na maoni mchanganyiko kutokana na kuweweseka kwa afande huyo na kuropoka ovyo. Wapo wanaodai kwamba ''amri ya Ulimboka kukaa zaidi ya masaa matatu katika kituo cha polisi Bunju ni kutokana na order alizotoa afande huyo kwamba akae na asipatiwe matibabu ya haraka''.

Haijulikani kama ajali yake ni tukio lililokusudiwa kumnyamazisha daima au ni ajali ya kawaida.

Ni matumaini yangu madaktari watamtendea kwa kadiri ya uwezo wao wote kuokoa maisha yake.

everything goes with it otherwise you got it
kama kahusika kwa njia moja ua nyingine lazima tu yatamrudia na akiwa hajuhusika basi ni kama ajali zinazo wapata binadamu wengine, je madakitari wataamini kama hajahusika na hali serikali imeshatangaza ubaya ubaya tu kwa madakitari kazi anayo
 
''mm sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena cku hyo mm ckuwepo'.. David Mapunda

OC CID Kawe (Mkuu wa Upelelezi) David Mapunda amepata ajali ya gari akiwa amesimama nje ya gari lake (gari lilitokea na kumgonga). Amevunjika pelvis na licha ya jitihada za kukwepa kupelekwa Muhimbili alijikuta anaishia mikononi mwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Vyanzo vya ndani vya Intelligensia iliyokuhubu vinadokeza kuwa Afande huyo wa polisi amejikuta aki"sema" mengi kuhusiana na "kutokuhusika kwake" na tukio la utekaji nyara, kuteswa na jaribio la mauaji ya Dk Ulimboka.

Kwa mujibu wa "Nzi" ambaye amekuwa akiendesha uchunguzi "mbadala" wa kukusanya intelligensia ya suala hili:

Kumekuwa na doria za kila mara ndani na sehemu mbali mbali za wodi za MOI mpaka staff wamefikia kulalamika juu ya hilo japo maaskari hao wamekuwa wakijibu kwa jeuri kwamba wapo kazini.
Ndugu na jamaa wa afande huyo wamekuwa hawana amani kwa hofu kwamba ma-dr wanaweza kulipiza kile alichofanyiwa mwenzao Dr. Ulimboka. Kumekuwa na maoni mchanganyiko kutokana na kuweweseka kwa afande huyo na kuropoka ovyo. Wapo wanaodai kwamba ''amri ya Ulimboka kukaa zaidi ya masaa matatu katika kituo cha polisi Bunju ni kutokana na order alizotoa afande huyo kwamba akae na asipatiwe matibabu ya haraka''.

Haijulikani kama ajali yake ni tukio lililokusudiwa kumnyamazisha daima au ni ajali ya kawaida.

Ni matumaini yangu madaktari watamtendea kwa kadiri ya uwezo wao wote kuokoa maisha yake.

Kuna hoja ya kujadiliwa hapa je ni ajali ya kawaida?
Je ni watu/madaktari walioshikwa na uchungu wa mateso ya Dr Ulimboka?
Je ni waliohusika na mateso ya Dr Ulimboka walikuwa wanajaribu kum eliminate?
 
''mm sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena cku hyo mm ckuwepo'.. David Mapunda

OC CID Kawe (Mkuu wa Upelelezi) David Mapunda amepata ajali ya gari akiwa amesimama nje ya gari lake (gari lilitokea na kumgonga). Amevunjika pelvis na licha ya jitihada za kukwepa kupelekwa Muhimbili alijikuta anaishia mikononi mwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Vyanzo vya ndani vya Intelligensia iliyokuhubu vinadokeza kuwa Afande huyo wa polisi amejikuta aki"sema" mengi kuhusiana na "kutokuhusika kwake" na tukio la utekaji nyara, kuteswa na jaribio la mauaji ya Dk Ulimboka.

Kwa mujibu wa "Nzi" ambaye amekuwa akiendesha uchunguzi "mbadala" wa kukusanya intelligensia ya suala hili:

Kumekuwa na doria za kila mara ndani na sehemu mbali mbali za wodi za MOI mpaka staff wamefikia kulalamika juu ya hilo japo maaskari hao wamekuwa wakijibu kwa jeuri kwamba wapo kazini.
Ndugu na jamaa wa afande huyo wamekuwa hawana amani kwa hofu kwamba ma-dr wanaweza kulipiza kile alichofanyiwa mwenzao Dr. Ulimboka. Kumekuwa na maoni mchanganyiko kutokana na kuweweseka kwa afande huyo na kuropoka ovyo. Wapo wanaodai kwamba ''amri ya Ulimboka kukaa zaidi ya masaa matatu katika kituo cha polisi Bunju ni kutokana na order alizotoa afande huyo kwamba akae na asipatiwe matibabu ya haraka''.

Haijulikani kama ajali yake ni tukio lililokusudiwa kumnyamazisha daima au ni ajali ya kawaida.

Ni matumaini yangu madaktari watamtendea kwa kadiri ya uwezo wao wote kuokoa maisha yake.

Wataficha kila kitu lakini hawataweza kuficha na kuzuia ukweli kujulikana. Wakati mwingine ukweli huwa una tabia mbaya ya kuchelewa kuibuka na kujidhihirisha wazi. Lakini daima hatimaye hujitokeza...haya. It is just a matter of time.
 
Sitaki kumuukumu huyu mtu ila Mungu ndiye atakaye muukumu kama kweli aliusika kwenye tukio la kumteka Dr. Ulimboka...

acha woga wewe, jifikirie uko kwenye state unang'olewa kucha kwa pliers, halafu mtesi wako anatinga kwenye anga zako utamuimbia mapambio? Mungu hajaribiwi.
 
Maadili ya madaktari hawawezi kumtendea chochote kibaya. Ila kwa hali ya hospitali yetu, yakimkuta ya kumtaka apelekwe nje ya nchi kwa matibabu zaidi sijui itakuwaje, maana serikali ya magamba sijui itamkumbuka? Au Manjagu wenzake watamchangia kama madaktari (I doubt!!!!!!). Pona haraka kamanda ukatoe ushahidi ambao hujaulizwa na umeshaanza kuutoa mwenyewe
 
Mi napendekeza madkt wamsusie kiaina au wapige msumeno miguu na mikono chapchap. Kwani nn bana; kama walimudu kususia tiba kwa watz wote wasio hatia na watu wakafa wala dhamiri hazikuwauma watamtibuje mmoja wa watesi wao? Haki ya Mungu nitawaona mafala wakimtibu huyo jamaa!

kijana dharura zilikuwa attended kipindi cha mgomo
tambua hili sawa mkuu
 
What goes around comes around. Doktaz kama hamna Polonium 210 mni PM niwape hiyo kitu mmalize kazi kabisa. Kama vipi akatibiwe na Kova The Movie Actor
 
Back
Top Bottom