UWEZEKANO NI MKUBWA NDUGU NA ZINAWEZA KUPANDA ZAIDI MWAKANI KUTOKANA NA WAKULIMA KUKATISHWA TAMAA NA BEI ZA MWAKA HUU.
NAUZA MAHINDI SAFI YA NJANO, NINA TANI 29. NIPO MKOA WA RUVUMA 0758- 25 36 02 AU 0625- 22 80 30.
Nina mahindi safi ya njano tani 29, natafuta mnunuzi mwenye bei nzuri.
Kwa mwenye kuyaitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0758 - 25 36 02 au 0625 - 22 80 30.
Nipo mkoa waruvuma. naweza kuyasafirisha au mnunuzi anaweza kuja kuyanunulia huku ruvuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.