Recent content by mazaga one

  1. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza Sikukuu ya Eid El Fitri itakuwa Machi 20 au 21, 2026

    Serikali ya Mama iwafanyie wepesi watumishi kama ilivyofanya Xmass..
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Hahaha Huwezi sema.. Ila namjua huyo dada😀 Ana Diploma alisoma UDOM,mweupe kidogo na shape fulani
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Binti namfahamu,wewe ni Mtu wa Mbeya ni Doctor na jina la Binti ni PH jina la mwanzo na mwisho. Kama ni huyo Binti katulia sana na ni mzuri,ila usimuachishe kazi mtoto wa watu anategemewa sana kwao... NB sio Kila mwanamke Polisi ni Malaya,umalaya ni tabia ya Mtu.Kuliwa ni maamuzi ya Mtu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

    Vigezo vya vyuo vyote kusoma Masters ni GPA ya 2.7 na kuendelea.. Huyo akasome Open University Postgraduate Diploma Ili aweze kupata sifa za kusoma Masters.. Halafu sio wanasiasa wote wanasoma Open university,acha kuropoka kwenye keyboard,Mimi ni mwanafunzi wa Open na sio mwanasiasa,huku kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushauri serikali kuongeza ndege kutokana na watalii kua wengi, Hatimae serikali imekubali ushauri huo

    Nadhani Wana JF wengi warudi kwenye ule utaratibu wa kuwa GT kushauri Serikali.. Hili ni kubwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Karibuni silali kijana wenu usiku,Miguu kwenye kisigino inawaka moto...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Naombeni ushauri na Mimi.. Nimepatwa na hii shida sasa hivi...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila kupepesa macho,mpenzi wangu nimemfumania akichat na Ex wake..Hii ni ishara Gani Kwa wazoefu...?

    Kuna mchangiaji mmoja kasema kuhusu Virgin.. Namuelewa sana
Back
Top Bottom