Recent content by mazaend

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimewaza hili🤔

    Min - me inbox tafadhali Nina shida kweli Sirius ya kuwezeshwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Sandaland kudhamini jezi timu ya Taifa, Makonda kaja kunisapoti.

    Mbona za Yanga katengeneza na wamezisifia, kulikoni za Taifa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga wachague uwanja wa uhuru na sio KMC stadium?

    Una hoja usikilizwe Mimi NAMI naunga mkono viongozi walifanyie kazi yanga anacheza mpira nje ya uwanja hayo mambo ya ulozi ndo kazi yake!!! Viongozi tukifungwa na yanga awamu hii hatuwaelewi raha ya ligi umfunge mtani basi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani anakibarua kizito hapo mbele kati ya Simba, Yanga, Azam na Singida huko CAF

    Simba tumepata timu ngumu inabidi icheze kwa akili kubwa na kujituma kweli kweli lakini naamini tutavuka salaam.
  5. M

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Kwa kweli ni furaha hatari mkuu, usisahau mkuu na mara nyingine tukivheza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Eneo alilopigwa kocha wa Gabarone mashabiki au viongozi hawarusiwi kuwepo

    Ueleweki hata pointi Yako haieleweki yaani badala ya kukemea vitendo kama hivi kwenye michezo unatetea mara siyo sehemu ya uwanja mara hakustahili kutembea pale, tetea joja Yako!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Kila La kheri timu Simba timu yangu magori ya kutosha Simba nguvu Moja hii tunatoboa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni tena mbona mapema sana tumeanza Kumlaumu huku tulishamsifia mno kuwa bonge la Kocha mpiga miti?

    Tumpe muda kocha anafaa ila wachezaji wamemwangusha Simba kumwanzisha benchi mwalimu kuingia kipindi cha pili akuwa mjinga
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Ametia huruma sana kapigwa karibu na jicho siyo uanamichezo Tanzania ya amani ipo wapi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United

    Vip hajatoa historia za wacheza ji wote wa Gaborone ubutu wao, ukali wao dimbani, walikotokea, nk? Maana hicho ndo anachokiweza!!!! hakuna kocha mle wakati utaongea hamalizi msimu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

    Mimi nina Binti yangu ana miaka 7 daeasa 1 anacho kikubwa TU, pacha wake wa kiume Hana na Kuna Binti jirani yetu pisi ya hatari yupo kidato cha 2 anacho kikali sana ni maumbile hayachagui jinsi nadhani hivyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuongezewa Maarifa

    Hakuna raha hapa duniani kama kula yaani ule kitu unachokipenda aisee asikwambie mtu raha sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Man-city naye atakuaje leo ama atazingua kama manchester united!!

    Matokeo ilikuaje Jana?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Hahahahahahahah, bila kuanzia kunihudumia penzi kwangu alipo nione huruma yake kwanza! Potelea mbali hata akiona napenda Hela sawa, nilishakifunza kitu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Inatia mimba lkn mwenza hafurahii anafikaje kileleni kwa sekunde hizo mwisho atampa kishawishi cha kumaliza sehemu nyingine hii ni hatari kwa uaminifu
Back
Top Bottom