Jamani sio ivo , inahitaji uadilifu na. Uwazi tu na sio janja janja tu, kila kitu kizuri kina gharama zake, ukiona Spain inacheza soka Safi jiulize waliwekeza miaka mingapi kuwa Bora na sio kufanya maandalizi ya Zima moto, lakini kwasoka la vijana TFF wamejitahidi Sana kwa kiasi kikubwa#mpira ni...