Recent content by mayukuole

  1. M

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Hapo kuna uongo gani sasa, majina ya wahusika wa huo mpango yametajwa kama ni uongo wakanushe basi. Acha kujitoa ufahamu!
  2. M

    Hofu, Mashaka, Wivu na Upotoshaji dhidi ya Brigedia Nyekundu-Majibu

    Bila kusahau sungusungu(jeshi la jadi)
  3. M

    CCM ijiandae kuunda Serikali ya mseto-Kanali Edmund Mjengwa

    Kanali Mstaafu Edmund MJENGWA kwa sasa anaishi Rujewa mkoani Mbeya na si Dodoma. Naomba nikuweke Sawa hapo
  4. M

    Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

    Kama ni maandamano tulishafanya Songea. Haya ya kesho siyajui!!!!???????
  5. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Taarabu zimeanza!!!!! Dah!!
  6. M

    Mgombea CHADEMA atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

    Utakuwa na malaria plus plus wewe!!!
  7. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Chadema imechukua kiti mtaa wa Mkwajuni Vijibweni
  8. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Chadema wameshinda mtaa wa Mkwajuni, kata ya Vijibweni,Kigamboni
  9. M

    Waliochukizwa na mapingamizi wateketeza nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Karagwe, hali ni tete

    Kwani wenyeviti wa ccm ni wasimamizi wa uchaguzi?
  10. M

    Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Utakuwa unakunywa viroba, si bure!!
  11. M

    Wabunge wajipanga kummaliza Maswi

    Kwa hiyo ni halali kuchota hiyo mipesa enhee!!!!!?
  12. M

    Hivi Tanzania kuna ma-engineer au mafundi repair?

    Majengo yenyewe ndege akitua yanaanguka!!!!!?
  13. M

    Mbeya: Watu 37 wanusurika kifo baada ya gari kupasuka gurudumu la mbele

    Kama yule dereva niliyemkimbia ndio anaendesha basi ninalopanda sasa itabidi niwe naomba mungu njia nzima mpaka nafika safari yangu salama
Back
Top Bottom