yote tisa kuna kibosile wa hr yeye kazi yake kutembea na mademu kuwapa kazi anawachukia aliowakuta anajifanya kaagizwa awachishe kazi wote keshawalamba watu wa HR wawili na aliyekuwa payrool kahamishwa kaletwa first lady toka operations teh teh salamu zako kazinja utawalamba sana
Mi ni mama wa familia hali hiyo inatokea sana kwetu sisi ushauri kama unapenda mwambie ila atumie udi kufusha ili yale maji yakauke kama hautajali nitafute usimwambie chochote mlete kwangu nimpe darasa
Mi ni secretary nimeolewa nafurahia kazi yangu na nina ipenda na mume wangu ndo aliyenipeleka shule kusomea hiyo kazi na enjoy na huwa nasafiri na boss wangu kikubwa kujiamini tu mwenyewe na kujitambua kuwa ni nani kingine mimi nikisafiri na boss mume wangu huwa ananifuata niliko sina wasiwasi...
Si kweli ni mtazamo wa watu wachache na wasioajimini katika hilo hasa kwa upande wa wanaume ila kwa wanawake kinachofanyika hapo maudhi yanapelekea mpaka unatoka nje ila sio asilimia zote inategemea
mimi ni msichana ninakaa na baba mtoto wangu hatujaoana lakini tunamtoto wa miezi mitatu sasa, baba mtoto wangu ni kijana ambaye anajipenda sana yani yupo very smart sijawahi kuona kijana anayependa kuvaa nyeupe na siku zote akarudi mtanashati kama baba mtoto wangu.
Kipindi alivyoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.