Hapo bado hujafikisha miaka mitatu
Kuanzia July 2022 mpaka july 2023 ni mwaka wa probation( uangalizi)
July 2023 mpaka July 2026 ndio unakuwa umefikisha miaka mitatu kwa hiyo subiri mpaka july 2026 ndio unaweza kupanda baada ya miaka mitstu
Tafuta hela usomeshe watoto shule nzuri na wawe wanatumia school bus
Mambo ya kulalamika ni ujinga tu
Hao watoto kuna mtu kakulazimisha kuzaa na unataka ulelewelewe na serikali Wewe ndio unatakiwa uwapaambanie watoto wako na sio vinginevyo
Kijana hata mimi ninatatizo kama lako lakini nimepata ajira serikalini jitahidi kusoma degree alafu uombe ajira za utumishi kama unaelewa madesa ukimaliza degree utapata ajira
Nenda kareport kuna watu wengi sana wamesoma hiyo Civil Engineer wamefanya interview nyingi lakini wapi mpaka sasa ni majobless tu
GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE
Kama wewe niwakiume basi huyo boss wako hana mtu anayemkaza ndio maana anakuwa mkali muda wote wewe vumilia tu atakuja kukupa mzigo umkaze na kila kitu kitaenda vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.