Recent content by Mayonene

  1. Mayonene

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Umemsikiliza vizuri alivyongea? Unakumbuka alitolewa vipi ofisini? Kwa mtazamo huuhakunania ya dhati ya kuzuia haya maboacha watawala waendelee wanaovyo on inafaa ili tuwe kama ulaya
  2. Mayonene

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Twitter si bado imefungiwa watu wanalipia VPN ambayo serikali inapata 0% tax hela yote wanakula mabeberu. Haya makampuni ya simu ni ya mabeberu tunapandisha bei kuua wanyonge kutetea mabeberu. Halafu tuna sema serikali ya wanyonge, swali Wanyonge gani. Dunia nzima ina pendelea au...
  3. Mayonene

    PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

    Your assesment iko sawa kabisa
  4. Mayonene

    Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Wahuni sio Voda wala operators. Maagizo ya mwisho kupandisha bei ya vifurushi mpaka beei za kijinga kabisa yalikuwa triggered kukubaliwa na serikali
  5. Mayonene

    Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

    Kwa hiyo sasa tuanze kujenga Zanzibar? Akili zetu mungu ndie anayezijua
  6. Mayonene

    Ole Milya amlipua Mnyeti, asema kuna genge la wahuni lilikuwa likimshauri Hayati Dkt. Magufuli vibaya

    Muda utaongea haya ya kina Kakoko ni kidogo sana. Huwezi kuiba kura usiine rasilimali nyingine.
  7. Mayonene

    Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    Hii article imem outlive Mh. Raisinahakupata muda wala kuonyesha nia ya kuifanyia kazi. Inerestingly imepata wachangiaji kwenye muda wote wa uraisi wake
  8. Mayonene

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi awasili Chato kwa ziara ya siku mbili

    Imesha semwawazi kabisa ninanialiyeamua maendeleo yaende wapi na wapi yasiende hilo halina ubishi. Huwezi kumuuliza Mbunge kuhusu maendeleo aliyoleta kwa kuwa hakusanyi kodi aulilizwe anayekusanya kodi na kupewa matumizi yake Nakisha yeye kufanya atakavyo mwenyewe na hataki kuulizwa wala...
  9. Mayonene

    MV Kigamboni ilituletea hofu iliposhindwa kutia nanga leo

    Wewe utashitakiwa kwa kutakakuleta taharuki
  10. Mayonene

    Kuna uhusiano gani kati ya Chato na Mwalimu Nyerere?

    Shida watu wameamua kujustify yanayoendelea kwanguvu zote.Nyerere alitembelea maeneo mengi sana na kuhamisisha maendeleo kwa njia nyingi tu. Lakini hakuwahi kurundika maendeleo yote kwa kupendelea eneo moja kikubwa hakupendelea kwao. Hata nyumba yake Butiama alijengewa na Jeshi baada ya kuwa...
  11. Mayonene

    Kuhusu miundombinu Chato, Rais anawaagiza au viongozi wenyewe wanaamua tu kuipeleka huko?

    Huyo alienda kusaka kura wakati wa kampeni akaonekana anafariji walioathirika na mafuriko.Mafuriko ya mwaka huu wakamfuata kumwambia hiyo shida haijaisha.Akwajibu tusubiri maamuzi ya serikali.
Back
Top Bottom