Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi awasili Chato kwa ziara ya siku mbili

Mwanzo wa hesabu ni moja! Na Magufuli si mtu wa maneno maneno tu, ni wa vitendo - ona sasa January hii tu, ni watu wangapi mashuhuri wamezuru Chato? Na wanakwenda huko wakiwa wamesheheni na watu wengine!...
Wanaenda huko maana yuko huko na kwa sasa yeye ni Rais. Subiri aondoke huko na hasa hawa atoke madarakani utakuja kuleta mrejesho.
 
Hongera nyingi sana kwa Maalim kwa ushauri wake kwa Chadema wenye tabia ya kung'oa vyuma vya madaraja na kuharibu miundombinu mingine ya barabara.
Nawasubiri, nipo hapa sitoki.
 
Zanzibar wangetaka maendeleo ya kweli basi nchi ilitakiwa viongozi wa tatu kuongoza nchi Governor au jina lolote tu mkurugenzi na wasaidizi wawili tu halafu chini wataalamu basi hakuna wanasiasa lakini kwa uroho wa madaraka wana raisi siju manaibu rais wawili halafu mawaziri sijui manaibu ukija tena wakuu wa mikoa mbaya zaidi wa wilaya,

kwa Zanzibar ipi? Unaweza kutoka ukatembelea miradi yote siku moja kwa ufanisi. Wilaya kama mtaa tu, ufujaji wa pesa sana najua wazanzibar watakuja na matusi lakini mimi sisemi kuwa sio nchi, ila kwa kuwa mko katika muungano kazi chache za ndani mngezifanya kwa ufanisi mkabaki na haki zote zote mlizonazo hivi sasa. Hizi nafasi za kisiasa ndio zinarudisha nyuma Zanzibar.
 
Soko la Kimataifa la Dagaa Kasenda

Hadi 2025 ni balaa
Kabla ya 2025 tutaona pia Soko la Kimataifa la Senene kule Bukoba kukamilisha balaa la Awamu ya Tano. Baada ya Uwanja wa Mwanza kupanuliwa kubeba mbuzi, tayari Uwanja wa madege wa Bukoba umekwisha panuliwa kusafirisha Senene!
 
Mwanzo wa hesabu ni moja! Na Magufuli si mtu wa maneno maneno tu, ni wa vitendo - ona sasa January hii tu, ni watu wangapi mashuhuri wamezuru Chato? Na wanakwenda huko wakiwa wamesheheni na watu wengine!...
'There is no bad publicity' Yani ukichafua kitu weee ama ukichafua mtu ndo unamtangaza. KILA mtu atataka akijue hicho kitu. Akikifahamu Sasa ndo atagundua mbona kiko poa tuuu.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom