Funzo Kutoka CAG Report ya ATCL: Profesa Mruma Awasilshe Upya Ripoti Ya Makinikia

Sasa ilikuwa awasingizie ili nn mkuu?acheni ushabiki maandazi.
Kila alichofanya Magufuli kinatokana na hisia zake mbovu. Kwenye ile clip maarufu ya kabla ya 2015 ambayo na Charles Kitwanga yupo, Jiwe alisikika akisema kuwa madini yanaibiwa kupitia mchanga unaosafirishwa nje ya nchi nakwamba akiwa Raisi watu watalimia meno.

Baada ya kuwa Rais akataka ku-prove kuwa hypothesis yake iko kweli ndipo akaunda tume ya Prof Mruma na Prof Osoro. Kiukweli Tume ya Prof Mruma ilikuta kuwa kontaina la 20ft lina 0.7Kg ya madini ya dhahabu na silver. Na kiasi hicho ndiyo kimekuwa kikilipiwa na ACACIA/ Barrick kodi sahihi kuanzia 1998.

Kwa vile Magufuli alidhani tunaibiwa madini wakati si kweli akaichakachua ripoti ya Prof Mruma na kuandika kuwa kuna 7.0 Kg kwa kila container. Hapa ndiyo ile hoja ya ACACIA kukwepa ushuru wa USD 190 bilioni au Tsh 450 Trillioni ndipo ilipojitokeza. Hiki kitu Tundu Lissu aliita professorial rubbish kwa kuwa ni uzandiki mtupu. Na kweli hatujapata hiyo Tsh 450 Trilion aka Noah moja kwa kila Mtanzania.
Ili
 
Kwa kweli usimuamini mchaga!

Leo chadema inatetea makampuni ya madini kuwa hakuna baya wanalofanya, duh tutashuudia mengi. Yote hii ni kuchafua legacy ya Magufuli au?
 
Naona mmehongwa na mafisadi kuja kuwatetea? Nashangaa corona ya miaka hii imewaonea wazee tu wenye busara.pumbavu kabisa
 
Kwa hiyo Chadema mnataka kusema, kwenye madini hatuibiwi au mwizi wa madini ni Magufuli?

Hiki chama kimepoteza kabisa mwelekeo.
Sio kwa kiwango kile cha thamani ya fedha dola bilioni 190!, Ile ripoti kwa mtu anayetumia akili yake vizuri bila hata kuwa mtaalamu wa jiolojia au mchumi ilijaa upotoshaji mkubwa sana kuwahi kutokea nchini.

Thamani ya barrick haijafika hio 190usd, hivyo halikuwa deni linalolipika hata wangeuza asset zao zote nchini. Uzuri ni kuwa barrick ni public company taarifa zake za fedha zipo wazi mtandaoni, nenda kapekue uone kama kuna uhalisia wa deni hilo na hakuna kampuni profitable kiasi hicho duniani kiasi cha kulipa kodi tu 190bn usd na ukumbuke kuwa hii multinational corporation ana oparesheni nchi kadhaa duniani. Hakuna kampuni yenye faida kiasi hicho duniani.
 
Naona mmehongwa na mafisadi kuja kuwatetea? Nashangaa corona ya miaka hii imewaonea wazee tu wenye busara.pumbavu kabisa
Kwa kweli usimuamini mchaga!

Leo chadema inatetea makampuni ya madini kuwa hakuna baya wanalofanya, duh tutashuudia mengi. Yote hii ni kuchafua legacy ya Magufuli au?
Kwa hiyo Chadema mnataka kusema, kwenye madini hatuibiwi au mwizi wa madini ni Magufuli?

Hiki chama kimepoteza kabisa mwelekeo.
Fisadi mkubwa wewe,
Tatizo bado hata kwa Maghufuli, bado mikataba hiyo imebaki kuwa siri kubwa na makinikia yakiondoka bila kishika uchumba. Tunaambiwa tunapata 16% daraja la pili. Na kwamba tunayo kampuni ya pamoja inayoitwa TWIGA .

Tatizo lilianza 1996 wakati akina Lissu na wasomi wengine walipopinga mikataba hii mibovu . Mzee Mkapa na serikali yake walijibu kijeuri . Kuwa wanaopinga mpango wake kuhusu MADINI ni wa wavivu wa kufikiri . Huku akiruhusu mawaziri husika kwenda kusign mikataba huko nje. So hata kama tunaibiwa ni kwa mibaraka ya mwenyekiti wa CCM taifa . Kwa wakati huo na wakati wote .

Odhis *
 
Ndio maana nimeshasema walio anzisha huu uzi ndio mafisadi wakubwa ambao wanataka kuigeuza serikali yetu tena kuwa mali ya familia zao.
 
Aisee Mimi nililazimika kwenda driving school haraka ili nikipata Noah nivunje bega
Endeshea baiskeli hata tolori kumuamini jiwe ilihitaji ujasiri Sana mwamba katupiga Sana fix mil 50 kila killage wakat huo mm nilikuwa mwengekit wa kijj fulan huko mkoani nilijua nishaukata
 
Mkuu wazo lako ni zuri sana lkn subiri mataga watakavyo kushambulia.
MATAGA wako chali sasa hivi. Kazi yao nikuomba radhi tu kwa kauli zao chafu walizotoa zamani dhidi ya Wakongwe wa CCM
 
Kwa hiyo Chadema mnataka kusema, kwenye madini hatuibiwi au mwizi wa madini ni Magufuli?

Hiki chama kimepoteza kabisa mwelekeo.
Magufuli alikuja na Consipiracy Theory ambazo alilazimisha ziwe kweli. Hata watu wakileta ukweli anabadili RIPOTI
 
Ukweli kabisa, suala la makinikia, na report ya Mruma, nina ufahamu wa 100%. Na prof. Mruma akiwa mru wangu wa karibu sana.

Yote aliyoyasema Rais Magufuli kuhusiana na kuibiwa dhahabu kupitia makinikia, ulikuwa ni uwongo mtupu ambao ulilenga kuwadanganya wajinga ili kupata simple political popularity.

Rafiki yangu Mruma alikuwa na wakati mgumu sana. Akawa hana namna, ikamlazimu kufanya kama mkubwa alivyotaka huku yeye akipoteza kabisa heshima yake mbele ya wasomi. Maana ile report, ilikuwa ya kijinga kabisa, hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa geology, angejua kuwa ni rubbish.
Asante sana Hamatan kwa kuninuanyua kwa hoja yangu. Nimefikiria sana kwa nini tulikosa zile Tsh 450 Trillion halafu tukaufyata. Ndiyo nikahisi tu kuwa Ripoti ya Prof Mruma Ni Professional Rubbish kama alivyosema Tundu Lissu.
 
Magufuli alikuja na Consipiracy Theory ambazo alilazimisha ziwe kweli. Hata watu wakileta ukweli anabadili RIPOTI
ooohh kwa hiyo maneno ya wizi kwenye madini zilikuwa ni conspiracy za Magufuli? haya sawa chadema tumewasoma
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom