Recent content by mayayasilas

  1. mayayasilas

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Huko kunaitwa kujituma ndo maana wapo mbali..
  2. mayayasilas

    Rais Kikwete: Katika utawala wangu nimefanikiwa kupambana na Ufisadi

    Maana najua mapovu unayoyatoa humu utakuwa na kataulo hapo pembn unapangusa mdomo tu...pole ushachelewa hamna nafac ya ukuu wa wilaya hapa...mshazoea vya bureee
  3. mayayasilas

    Rais Kikwete: Katika utawala wangu nimefanikiwa kupambana na Ufisadi

    Ww si umekuta za baba yako kinje na kaka yako wa south, kwan nani asiyejua mzee wako yupo upande wa lowasa na ndo mafisadi wenyewe..unatetea ufisadi cuz unajua ndo na familia yako inalia humo...unajiona km mfanyakaz kumbe unakula zisizo zako, mmetunyonya watz mpk mmetubakiza makapi
  4. mayayasilas

    Rais Kikwete: Katika utawala wangu nimefanikiwa kupambana na Ufisadi

    Kaka unabishana na huyu kinjekitile, umesahau ndo watoto wa mafisadi papa hawa..wazaz wao washaila nchi wameiacha mifupa mitupu..kwa yy anaona hao vidagaa waliokamatwa ndo wanatosha cuz ndo wametolewa km chambo ili wao waendelee kula nchi
  5. mayayasilas

    Rais Kikwete: Katika utawala wangu nimefanikiwa kupambana na Ufisadi

    Naona unatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu kwel..umesahau kipindi chake kinaisha huu mwaka..
  6. mayayasilas

    Shida ya kuapply mikopo

    Jaman mm nimelipia ile 30,000 ya mkopo kupitia airtel money. Sasa shida ambayo ipo ni katika ile transaction ID. Katika form za kujaza mikopo wanasema kwenye sehemu ya kujaza hyo tans ID wanataka tarakimu ziwe 9 tu lakini kwa airtel money zinazidi. Kwa yeyote mwenye msaada kuhusu hili...
  7. mayayasilas

    King'amuzi cha startimes kinanizingua

    yaan nimejaribu kusearch hailet channel yoyote..customer care wanasema ni bora kununua mpya maana haziingiliani
  8. mayayasilas

    msaada king'amuzi cha startimes

    asante mkuu.. naomba unielezee vizuri kuhusu hiyo offer..
  9. mayayasilas

    msaada king'amuzi cha startimes

    nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa mawakalaa wao hapa tabora wananiambia mpaka wanifanyie settings flani hivi na bei yake ni kama unanunua...
  10. mayayasilas

    Dawati la msaada kwa HTC smartphones

    mimi htc yangu mwez wa 5 sasa ipo katika aeroplane mode, nmejaribu almost kla kitu inakataa kutoka..na imefanya network kuwa off..km kuna la kunisaidia hapo nitashukuru
  11. mayayasilas

    King'amuzi cha startimes kinanizingua

    nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa mawakalaa wao hapa tabora wananiambia mpaka wanifanyie settings flani hivi na bei yake ni kama unanunua...
  12. mayayasilas

    Pesa aliolipwa floyd myweather,

    jaman huko si Africa, kuna mambo mengi sana ambayo ataenda kulipia pamoja na tax.. sio kama analipwa cash hapo na kusepa... fanyeni research jaman
  13. mayayasilas

    Chama cha Kilaghai Tanzania...

    mimi wala hata cjamalizia kusoma cuz unabore
  14. mayayasilas

    Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Yaan unaongea unafiki ndo maana hata english imekupiga fimbo..kama upendi uzi acha kuchangia, au umetunwa..kojoa ukalale
Back
Top Bottom