Recent content by mayan

  1. mayan

    Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

    Atakufa kwa pressure 2Addo
  2. mayan

    Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

    Hapo amedanganya kabisaaa
  3. mayan

    Kwanini Watia Nia Kugombea Urais kupitia CCM wote wanaogopa kutamka neno 'UFISADI'

    Ukiongerea ufisadi na CCM ni pete na kidole kwan hata hata Samweli sita jana bungen aliwambia watanzania kuwa Hajaona mgombea hata mmoja waliotangazwa na kujitangaza kuwania nafasi hiyo ndani ya CCM kuwa anauwezo wa kupambana na UFISADI
  4. mayan

    Dkt. Slaa apokelewa kwa kishindo Tunduma; aahirisha kukagua BVR

    safi sana makene kwa update nzuri na sisi tupo huku Tabora tukipambana na BVR
  5. mayan

    Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    CCM WOTE hatuna iman nao tena kama mwiguru na Lowasa ndio kabisa yaan mmoja FISADI mmoja GAIDI
  6. mayan

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowasa mweupe sana kama plain paper na Ukawa tunamtaka huyuhuyu
  7. mayan

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowasa mweupe kama plain paper
  8. mayan

    Richmond: Watanzania tulimlipa Lowassa Mil 150 kila siku...

    kwli Lowasa ni jambazi
  9. mayan

    Dr. Slaa: Watanzania wanataka "Safari ya Uhakika"

    Dr slaa ndie Rais ajae CCM waweke mtu yeyote yule lakin wewe Dr slaa tunakuamin na tunaiman na wewe
  10. mayan

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    kila mwenye akil timamu hilo analijua kuwa lowasa ni janga la kitaifa
  11. mayan

    Muungano wa Ukawa, CUF, NCCR Mageuzi, NLD, kukosa wabunge wa viti maalumu

    Naona mtoa post unafikilia kwa kutumia TUMBO
  12. mayan

    Mkutano Maalum wa CHADEMA Arusha Mjini

    Ukawa ndio habari ya mjini
  13. mayan

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Ukawa njoon haraka hakuna jipya huku ccm
  14. mayan

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Na mwaka huu hayupo mtu wa kuwapatanisha kwan 1995 kulikuwa na makundi lakin Nyerere aliyamaliza kwan Nyerere alikuwa anauwezo mkubwa sana wa kupatanisha watu lakin mwaka huu hakuna mtu kama Nyerere so watatafutana
  15. mayan

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Lowasa Hakuna alichokiongea zaidi za kujichanganya wala hajastik kwenye mada na wala hakuongelea kabisa kuhusu Ufisadi
Back
Top Bottom