Recent content by maya44

  1. M

    Natafuta kazi ya uwalimu Chemistry na Biology

    Nimesoma Bachelor of Science with Education nmehitimu mwaka huu natafuta shule ya kufundisha mkoa wowote ule kwasasa nipo Dar.
  2. M

    Naomba usharudi juu ya suala hili

    Samahani naomba kauliza je kama mwanaume amewahi kuumwa warts kwa miezi Sita iliyopita na ameshatibu tatizo kwasasa. Je, endapo nilikutana naye kimwili naweza kupata mambukizi?
  3. M

    Msaada wa dawa ya kipele hiki

    Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida gani
  4. M

    Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

    Je kuna madhara yoyote ya kujitazama ukeni kwa kioo kila siku nmekuwa nilifanya Ivo now nakaribia miaka miwili ninashida ukeni huwa naaiangalia kwa kioo kwa kila siku karibia mara 3 au zaido na natumia dawa siponi shida yangu kila ikiisha shida moja inaibuka nyingine
  5. M

    Msaada juu ya ovarian cysts

    Una centimetres 5 kwa 5 na upande wa kushoto wa tumbo umevimba napata maumivu makali ata nikitembea Lkn pia nmemuliza Dr chanzo anasema kunashida kwenye hormone ,,,,,,,je shida ni hiyo Tu mana naona nyumbani ni Kama hawanielewi nakwambia iyo ndo sababu
  6. M

    Msaada juu ya ovarian cysts

    Naomba kujua, Nona ovarian cysts kwa maana nmenda hospitali nikapewa dawa lakini unaendelea kuongezeka na wasiwasi wangu ni kwamba inapelekea cancer ya kizazi au laah!
Back
Top Bottom