Msaada wa dawa ya kipele hiki

Msaada wa dawa ya kipele hiki

Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
duh, mikono imekomaa utafikiri mwanaume, wewe ni mkulima? ndio unaonyesha watu vuzi lako wakati icho ni kiupele tu kimetokana na kuvimba kwa ndani baada ya kunyoa, huo unaovilia ndani ni unywele unaota kwa ndani. siku ingine acha kujiuza mtandaoni kwa kuonyesha sehemu za siri. ungetoa description tu mbuzi wewe.
 
Kwanza, pole sana kwa changamoto hiyo.

Unachopaswa kufanya, ikamue usaha utoke. Kisha ukichunguza vizuri kuna unywele umeoteana pale panapotoa usaha.

Uvute huo unywele, hakikisha kabisa umetoka. Kisha kamua tena. Kutavimba kidogo lakini kesho yake panakuwa vema. Then relax, kazi imeisha. Unaweza kuamua kunyoa sehemu zako kwa ratiba yako mwenyewe.

Achana na hao wanaokukejeli kwamba una vuzi jingi. Ni vuzi la kawaida kabisa. Isitoshe ungenyoa ndiyo uje basi uwezo wa kuvuta huo unywele ulioteana usingekuwa nao.
 
Kama huwezi kutoa msaada, kaa pembeni kuliko kuwakejeli watu. Mkono hauna changamoto yeyote. Hukuwa na haja ya kuukosoa, mkono wenyewe ni soft tu.

Tuache kejeli na bullying..
 
Njoo DM unitumie picha zaidi tujue cha kufanya au nijue nakusaidiaje

Wanaosema mchafu ni washamba, sijui vuzi jingi ni wajinga, vuzi ni la kawaida sanaa na unaonekana ni msafi tu ila wanatafuta sifa tu humu JF

Hakikisha unanitumia picha za kipele DM nikuambie ukanunue dawa gani? ya ant biotic ikusaidie kama nitaona ni chakawaida ntakupa maelekezo maana hata na maji ya moto kinapona kama ni cha kawaida
 
Watu wanalalamika vuzi mbona sijaliona maana hata butu hapo huwezi suka
 
FA30C53A-890F-4E97-B3A6-9A621B92A32F.jpeg
 
Kama huwezi kutoa msaada, kaa pembeni kuliko kuwakejeli watu. Mkono hauna changamoto yeyote. Hukuwa na haja ya kuukosoa, mkono wenyewe ni soft tu.

Tuache kejeli na bullying..

Dr kuna rafikiangu yangu kauza mechi amekunywa P2 sasa ana kiu ya mvinyo……vipi haitamletea madhara
 
😃 hahah nilitaka niulize ni sehemu gani kabla sijamaliza kusoma
Hahah anyway kimekupendeza
 
Dr kuna rafikiangu yangu kauza mechi amekunywa P2 sasa ana kiu ya mvinyo……vipi haitamletea madhara
Anywe bila bugudha. Haina shida.

Ila sasa mvinyo utampandishia midadi, na pengine hamu zitampanda. Atauza tena mechi.
 
Nashauri uende Kituo chochote cha Afya kilichopo karibu nawe.. Utapata msaada sahihi... ila Mimi naona ni Kipele cha kawaida tu.. its not a Wart/ other STDI symptoms...
Jaribu kwanza ushauri uliopewa hapo juu, na kama ukienda hospital da... basi umkute doctor mwanamke, mana tatizo lako dogo hilo.
 
Kwanza, pole sana kwa changamoto hiyo.

Unachopaswa kufanya, ikamue usaha utoke. Kisha ukichunguza vizuri kuna unywele umeoteana pale panapotoa usaha.

Uvute huo unywele, hakikisha kabisa umetoka. Kisha kamua tena. Kutavimba kidogo lakini kesho yake panakuwa vema. Then relax, kazi imeisha. Unaweza kuamua kunyoa sehemu zako kwa ratiba yako mwenyewe.

Achana na hao wanaokukejeli kwamba una vuzi jingi. Ni vuzi la kawaida kabisa. Isitoshe ungenyoa ndiyo uje basi uwezo wa kuvuta huo unywele ulioteana usingekuwa nao.
Asante sana
 
Back
Top Bottom