Habari na uwezo wa Benjamin unajulika na Kampuni kubwa duniani. Ulizia Benjamin Google watakuambia ni mtu gani. Tena usiende Marekani hapo kwenye Ofisini zao kenya tu watakuambia. Ulizia uwezo wa Benjamin Instagram na Gates foundation watakupa habari zake.
Bado hujaulizia watu wavyuo vikuu...
@GoLang na cmoney naheshimu sana mawazo yenu na kile mnachoandika, kwasababu mna Uhuru na haki ya kuongea lakini haimaanishi useme uongo.
Mimi sio Benjamin. Nipo tayari verify ID yangu kwa JF kuthibitisha hilo.
Kama mnataka kuthibitisha hilo ninyi wenyewe njooni jumatano next week Ofisini...
Anajulika kama Mtanzania wa kwanza kusoma Stanford na Harvard. Al maarufu kama mtanzania aliyekataa mshahara wa zaidi ya 400 ml. Ni yule yule CEO wa Kampuni ya levels za kimataifa --NALA. Ameweza kuleta mjadala mrefu sana huko Twitter na Instagram. Ambao umefanya vijana wengi wa paniki.
Kwenye...
Hapa mzee umechemsha Sana hujui maana ya Bank grade security kwenye NALA.
NALA is the most secure mobile money application in Tanzania.
Technology ya ulinzi inayotumiwa na NALA ni ile ile inayotumiwa na mabank makubwa duniani.
Plus technical team ya NALA imeshiba.
Kumbuka NALA inatumia...
Hapo umenena. Ila ngoja tuendelee kusubiri maana tumeambiwa anatengeneza Benki ya kidigitali ya Africa.
Na hivi Kaingia Y Combinator.
Tuendelee kula popcorn mapicha picha yakiendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.