Tigo wamecopy (cloning) features za NALA apps ya benjamin fernandez

Asipo jikita kwenye advertising yote anayoyafanya itakua ni kaz bure, naona anajisahau sana
 
nala atusaidie sisi tunaoshindwa kupokea pesa paypal.....zaidi ya hapo sijiungi nala yake. Haina maana yoyote. Tigopesa app ipo muda mrefu tu. Nala haina jipya

Unajua NALA iliposhinda yale mashindano nliifatilia sana coz nakumbuka nlipokua nasoma kuna jamaa alishawahi kuja na hio idea. Ila sasa NALA walichofanya ni kitu cha kawaida mno ambacho pia kina hasara sana kwa upande wa mtumiaji. Japo wameandika kuna 'Bank-grade' security lkn bado sana, tena sana.

Kuna mengi mno ila kiufupi Tigopesa app na NALA hazipaswi kulinganishwa kabisa kwa sababu zifuatazo

1)Japo zote zinaonekana na features zilezile lkn ukiangalia kiundani ziko tofauti sana hasa upande wa security. Hii app ya nala hacker akifanya utundu kdg tu anakuibia password zako zote unazotumia lkn kwa tigo ni vgm.

2)NALA haina kitu special zaidi ya kufanya Automated USSD calls. Yaan NALA app inakusanya data baada ya ww kuzitoa thn inaanza kufanya ussd calls kama ww tu unavyofanya sema app inaweka cover kwa juu ili ww usiione hio dialog ya ussd calls. Lkn ni kama tu ww unavyobonyeza *150*00# kwenye simu yako

3)NALA ktk security ina changamoto. Hacker akibind scripts fln kwenye apk ya nala afu ww ukaanza kuitumia ndo utakua umepoteza details zako nyng coz Nala app inapermission ya kutuma sms kitu ambacho sio neccessary kwenye app coz sijaona ulazima wake. Sasa hacker anaweza kubind scripts ambazo zinatuma hizo passwords unazondika kwa njia ya sms kwenda kwake.

Inshort NALA na tigopesa app sio za kulinganishwa Tigopesa app is much higher. Sema tu jamaa wa nala kusoma kwake Stanford ndo kulimbeba kushinda ile award lkn otherwise kilikua ni kitu cha kawaida sana.
 
Asipo jikita kwenye advertising yote anayoyafanya itakua ni kaz bure, naona anajisahau sana

Daaaah jamaa anaiga pigo za Elon Musk coz kuna siku musk alisema huwa awekezi sana ktk kutangaza. Na yy benj alisema hilo kpnd anahojiwa na millard. Of coz unaweza kutoinvest kwenye kutangaza kama product yako ni superb ila sio kwa NALA coz ni app ya kawaida
 
Such is the world of business. Ilikuwa swala la muda tu.
 
Daaaah jamaa anaiga pigo za Elon Musk coz kuna siku musk alisema huwa awekezi sana ktk kutangaza. Na yy benj alisema hilo kpnd anahojiwa na millard. Of coz unaweza kutoinvest kwenye kutangaza kama product yako ni superb ila sio kwa NALA coz ni app ya kawaida
MUSK anasaidiwa na Kiki na Drama maana hakauki kwenye media.
 
Unajua NALA iliposhinda yale mashindano nliifatilia sana coz nakumbuka nlipokua nasoma kuna jamaa alishawahi kuja na hio idea. Ila sasa NALA walichofanya ni kitu cha kawaida mno ambacho pia kina hasara sana kwa upande wa mtumiaji. Japo wameandika kuna 'Bank-grade' security lkn bado sana, tena sana.

Kuna mengi mno ila kiufupi Tigopesa app na NALA hazipaswi kulinganishwa kabisa kwa sababu zifuatazo

1)Japo zote zinaonekana na features zilezile lkn ukiangalia kiundani ziko tofauti sana hasa upande wa security. Hii app ya nala hacker akifanya utundu kdg tu anakuibia password zako zote unazotumia lkn kwa tigo ni vgm.

2)NALA haina kitu special zaidi ya kufanya Automated USSD calls. Yaan NALA app inakusanya data baada ya ww kuzitoa thn inaanza kufanya ussd calls kama ww tu unavyofanya sema app inaweka cover kwa juu ili ww usiione hio dialog ya ussd calls. Lkn ni kama tu ww unavyobonyeza *150*00# kwenye simu yako

3)NALA ktk security ina changamoto. Hacker akibind scripts fln kwenye apk ya nala afu ww ukaanza kuitumia ndo utakua umepoteza details zako nyng coz Nala app inapermission ya kutuma sms kitu ambacho sio neccessary kwenye app coz sijaona ulazima wake. Sasa hacker anaweza kubind scripts ambazo zinatuma hizo passwords unazondika kwa njia ya sms kwenda kwake.

Inshort NALA na tigopesa app sio za kulinganishwa Tigopesa app is much higher. Sema tu jamaa wa nala kusoma kwake Stanford ndo kulimbeba kushinda ile award lkn otherwise kilikua ni kitu cha kawaida sana.
Hapa mzee umechemsha Sana hujui maana ya Bank grade security kwenye NALA.

NALA is the most secure mobile money application in Tanzania.

Technology ya ulinzi inayotumiwa na NALA ni ile ile inayotumiwa na mabank makubwa duniani.
Plus technical team ya NALA imeshiba.

Kumbuka NALA inatumia Google APIs, iko verified by Google na developers wa Google wanasaidia na team ya NALA kudevelep NALA. na inatumia kitu kinaitwa Google keystore. Nenda kaangalie Kazi za CTO wa NALA utaelewa tu.

Labda nikufungue masikio hujui hatari iloyopo kwa tigopesa app maana hujui Nini wanafanya. Bado hujafikiria swala la tigopesa kuruhusu kufanya miamala bila kuwa na SIM card husiku. Hujui hatari ya Kuweza kuwa hacked tigopesa kwasababu ya matumizi yao ambayo sio secure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua NALA iliposhinda yale mashindano nliifatilia sana coz nakumbuka nlipokua nasoma kuna jamaa alishawahi kuja na hio idea. Ila sasa NALA walichofanya ni kitu cha kawaida mno ambacho pia kina hasara sana kwa upande wa mtumiaji. Japo wameandika kuna 'Bank-grade' security lkn bado sana, tena sana.

Kuna mengi mno ila kiufupi Tigopesa app na NALA hazipaswi kulinganishwa kabisa kwa sababu zifuatazo

1)Japo zote zinaonekana na features zilezile lkn ukiangalia kiundani ziko tofauti sana hasa upande wa security. Hii app ya nala hacker akifanya utundu kdg tu anakuibia password zako zote unazotumia lkn kwa tigo ni vgm.

2)NALA haina kitu special zaidi ya kufanya Automated USSD calls. Yaan NALA app inakusanya data baada ya ww kuzitoa thn inaanza kufanya ussd calls kama ww tu unavyofanya sema app inaweka cover kwa juu ili ww usiione hio dialog ya ussd calls. Lkn ni kama tu ww unavyobonyeza *150*00# kwenye simu yako

3)NALA ktk security ina changamoto. Hacker akibind scripts fln kwenye apk ya nala afu ww ukaanza kuitumia ndo utakua umepoteza details zako nyng coz Nala app inapermission ya kutuma sms kitu ambacho sio neccessary kwenye app coz sijaona ulazima wake. Sasa hacker anaweza kubind scripts ambazo zinatuma hizo passwords unazondika kwa njia ya sms kwenda kwake.

Inshort NALA na tigopesa app sio za kulinganishwa Tigopesa app is much higher. Sema tu jamaa wa nala kusoma kwake Stanford ndo kulimbeba kushinda ile award lkn otherwise kilikua ni kitu cha kawaida sana.
Huwezi kuilinganisha kabisa NALA na hizi Apps nyingine. NALA ni kitu kingine kabisa yaani.

NALA ya kesho ni Pan-African Digital Bank
NALA ya kesho ni Stock kwenye NEW YORK STOCK EXCHANGE
Haya ni swala la muda tu kuwa tayari.

Nakubali kabisa idea ya NALA Ni kawaida sana tena Sana yaani ambayo wengi walishakuwa nayo. Lakini utafauti ni kwamba idea imekutana na mtu smart. Benjamin he's to smart. Mtu ambayo ana amini kuwa IDEAS DON'T MATTER, EXECUTION IS EVERYTHING. ndio maana kila mtu anakiri kuwa idea ya NALA Ni simple, lakini utafauti unakuja vile Benjamin na team yake wanatekeleza hiyo idea.

Na simple ideas zinatakeover siku zote.
Angalia vitu vinavyofanana na NALA vitu Kama
Uber, Airbnb, Alibaba na vingine. Vyote ni interface tu hakuna jipya. Lakini viangalie Sasa hivi

Na hivi kaingia Ycombinator Benji anakuja kuwa kimbiza tu. Hakuna asije jua habari za Ycombinator kwa kampuni kubwa Kama Airbnb, Reddit, Wepay, Dropbox, coinbase na nyinginezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua NALA iliposhinda yale mashindano nliifatilia sana coz nakumbuka nlipokua nasoma kuna jamaa alishawahi kuja na hio idea. Ila sasa NALA walichofanya ni kitu cha kawaida mno ambacho pia kina hasara sana kwa upande wa mtumiaji. Japo wameandika kuna 'Bank-grade' security lkn bado sana, tena sana.

Kuna mengi mno ila kiufupi Tigopesa app na NALA hazipaswi kulinganishwa kabisa kwa sababu zifuatazo

1)Japo zote zinaonekana na features zilezile lkn ukiangalia kiundani ziko tofauti sana hasa upande wa security. Hii app ya nala hacker akifanya utundu kdg tu anakuibia password zako zote unazotumia lkn kwa tigo ni vgm.

2)NALA haina kitu special zaidi ya kufanya Automated USSD calls. Yaan NALA app inakusanya data baada ya ww kuzitoa thn inaanza kufanya ussd calls kama ww tu unavyofanya sema app inaweka cover kwa juu ili ww usiione hio dialog ya ussd calls. Lkn ni kama tu ww unavyobonyeza *150*00# kwenye simu yako

3)NALA ktk security ina changamoto. Hacker akibind scripts fln kwenye apk ya nala afu ww ukaanza kuitumia ndo utakua umepoteza details zako nyng coz Nala app inapermission ya kutuma sms kitu ambacho sio neccessary kwenye app coz sijaona ulazima wake. Sasa hacker anaweza kubind scripts ambazo zinatuma hizo passwords unazondika kwa njia ya sms kwenda kwake.

Inshort NALA na tigopesa app sio za kulinganishwa Tigopesa app is much higher. Sema tu jamaa wa nala kusoma kwake Stanford ndo kulimbeba kushinda ile award lkn otherwise kilikua ni kitu cha kawaida sana.
Kusoma Stanford sio sababu ya kushinda kama ndio hivyo basi kila graduate wa Stanford anashinda tu.
Kusema hivyo ni ufinyu wa mawazo.

Ecobank kashindana na Kampuni zaidi ya 400 kachomoa
AppsAfrica kapalangana na Kampuni zaidi ya 300 kachomoa
Hizo tuzo zote sio Kama tuzo zenu za bongo za sinema zetu.

Mimi na mtu ambaye nampongeza Sana Benjamin kwa hatua anazopiga na uzalendo wake. Tutamuelewa tu mwisho wa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi hiyo NALA na tigo pesa zote wameturahisishia na kuanza kuandika *150*....badala yake wamefanya coding kuweka into button easy as that.....sjaona kitu kipya kwa kweli,
 
Wengi mmeanza mjua Elon Musk baada ya kuanzisha Tesla. Musk has been in the game since he was 12 yrs old.
Musk hajaanzisha Tesla. Ali-invest sana wakati kampuni inasuasua na investors wenzake wakaona awe CEO.
 
Back
Top Bottom