Nikweli Kuna watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.
Lakini nimejaribu kudadisi kuhusu hii, nipata kujifunza kitu ndio naona kabisa kweli hii ni MBA kutoka Stanford na anonyesha vitu vinaendaje huko duniani.
Ngoja nikupe mfano mzuri.
Chukulia hiyo tigo pesa App. Ipo Playstore tangu 2014 kwa miaka 5 hadi leo ina watumiaji zaidi ya 500,000 tu. Ngoja tufanye hesabu ya kawaida.
Kama miaka 5 = 500,000+
Kila mwaka wana Downloads = 100,000+
Hii ni pamoja na kelele zao zote kwenye Tv, Radio na Matangazo Barabarani.
Njoo Kwa Benjamin na NALA yake Sasa.
NALA iko Playstore tangu April 2018 Ina downloads 50,000+. Yaani haina hata mwaka mmoja.
Ni miezi 10 tu. Tuseme kila mwezi ana downloads
5,000+ kumbuka hii Bila uzinduzi Wala Bila kupiga kelele Kwenye Radio na Tv.
Swali la kujiuliza uliona wapi uzinduzi wa Facebook, WhatsApp au Instagram. Ulisikia lini Instagram wakipiga kelele Kwenye Radio au Tv. Mbona hizo company Apps zao zina billions of users. Usisahau kuwa NALA inafanya kazi na hizo company (Google).
Tutarajie makubwa kutoka kwa NALA huku wengine wakiwa wanacopy
Sent using
Jamii Forums mobile app