Recent content by maxmiller pro

  1. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Pesa yako mwenyewe pia ikutese?nablock juu?polee sana.maamuzi ni yako. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  2. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Vodacom Jirekebisheni, Internet yenu sasa inazingua

    Polee mkuu,Kwani umelazimishwa kutumia huo mtandao?chagua mtandao mwingine.ufurahie maisha. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  3. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mzalendo sana. Ila katika hili mimi nimeshindwa kabisa

    Mkuu nchi yako mbona umeichoka mapema hivyo? Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  4. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Acha uchochezi mkuu.vita ya tatu ya dunia waijua wewe? Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  5. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Samahani sana

    Humu kuna baadhi ya watu ni wa ovyo sana,kuna makini.mungu akubariki kwa kujishusha.akupe hitaji la moyo wako. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  6. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini hivi vitu basi ujue una upungufu wa akili

    Vitu ni wingi..mbona umeandika kimoja???basi ww ndio una upungufu wa akili. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  7. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Wajinga ndio wanaomwamini! Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  8. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Hata Scanner za Airport tunapewa msaada?

    Upigaji mwingi bongo..maza ni kiwanda uru.
  9. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Kwa tanesco hii ya tanzania?mtaishi na giza ata mwaka,vile upo kijijini msoma?polee mkuu.
  10. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Almanusura nitapeliwe

    Mkuu comment yako imenifanya nicheke kama mjinga..big up.
  11. maxmiller pro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati

    Chai hii ya moto sana
  12. maxmiller pro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni mara ya nne nakutana na mpenzi wangu nikiwa na nguo zilezile

    Pole mkuu,jiongeze katika suala la uvaaji,Kuwa na nguo nyingi sio tija.
  13. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Swali asilotegemea Mwanetu kwenye Interview ya Benki

    Swali la kipuuzi sana...jibu lake jepesi sana.
  14. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

    Pole mkuu..kwani yupo humu muhusika?sometimes kuwa mvumilivu na tabia zako...
  15. maxmiller pro

    JamiiForums Tanzania Msemo wa 'afutatu' unaovuma mitandaoni chanzo chake ni kipi?

    Achana nayo..angalia maisha yako..usipate taabu na ujinga wa mtandaoni. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom