Unaweza ukawa una hoja lakini ukapuuzwa ndugu, maana haueleweki una shida na Ndalichako, logo (sijui una maanisha ile ya bibi na bwana), mifumo, usahishaji.. yaani nadhani hata wahusika wasikuelewe nini hasa kwako kimekupata na hiyo Wizara? Kwa asilimia kubwa ndio Wizara iliyotulea wote humu...