Recent content by max prixc

  1. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Wakuu natafuta kazi kati ya hizi stationary, kazi ya kuuza duka, sheli ulinzi au nyingine yoyote ya halali Elimu: kidato cha sista Sex: female Location: Dar es salaam Language: English & kiswahili Experience: kazi ya stationary 2years
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

    naomba kufahamu banda zuri la bata linatakiwa liweje na gharama zake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wakuu msaada naomba kufahamu jina la hii movie
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu jinsi ya kufuga bata

    Wakuu habari napenda kufanya ufugaji wa bata ila nakwamisha na mazingira niliopo naomba ushauri au hata msaada ili niweze kuongeza kipato kupitia ufugaji huu ninaishi Mombasa nimepanga chumba kimoja namimi napenda ufugaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kuhusu biashara ya mabegi

    Wakuu nahitaji kuingia kwenye biashara ya mabegi ya mtumba kunawateja wanachukuwa mzigo Tandika mezani kwa bei ya elfu 4 hadi elfu 5. Naomba kufahamu ni wapi eneo sahihi la kupata mabegi safi ya mtumba, kama pia karume naweza pata mzigo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    bado tuh wazee wa utabiri utabiri umeyumba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    ni nini hiyosubsistance allowance na vp kwa walimu wapya wataingia kwenye mfumo wa malipo moja kwa moja au kuna miezi ya uangalizi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    subsistance allowance ninini kaka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    nini kirefu cha TGTS
  10. M

    JamiiForums Tanzania ufundi na mafunzo , bei rahisi

    wakuu napenda kujifunza ufundi wa kutengeneza vitu kama feni heater pasi wapi naweza pata ujuzi huu
Back
Top Bottom