Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:


Mbona TGHS za afya sizioni hapo wakuu? Mnisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom