Recent content by max 20

  1. max 20

    Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

    Pole sana dada,anachokueleza mmeo hakipo.Mi nimefiwa na wazazi wangu wote wawili lkn nampenda mke wangu.Ktk maisha upendo wa wazazi ni wa wazazi na upendo wa mke ni mke au rafiki ni rafiki.Huwezi kusema et kwa sabb nimefiwa na mke basi hata rafiki zangu sitawapenda tena hilo halipo.Kila mtu na...
  2. max 20

    Naishi naye ndio, Lakini...

    Jitahidi kuwa muungwana bro,ninachokiona hapo huyu uliyezaa naye ndo mke maana mmeishi walau kwa miaka mitatu.Huyo ambaye unasema una malengo naye nakwambia utarudi tena hapa kuomba ushauri.Anajifanya kukusamehe na kumpenda mwanao kwa sabb tu hujamweka ndani,siku ukimweka ndani utajuta,ipo siku...
  3. max 20

    Ushauri: Niombe fedha kwa mchepuko au niache?

    Sina uhakika kama wewe kweli ni mwl,kama ni kweli basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo na ndo maana watoto wetu wanafeli sn.Unasema ni mchepuko mara asikuone kama huna future naye.Najiuliza wewe umeoa au hujaoa? Na je yeye kaolewa au hajaolewa.Maana unavyoongea ni kana kwamba kuna mpango wa kuja...
  4. max 20

    NATAKA NIMUOE WAZAZI WAKE WANALETA PINGAMIZI

    Ninackokiona hapo na kwa kuwa nami ni msukuma,waliowengi kwa wasukuma hakunaga utamaduni wa mtu kwenda kumtambulisha kwenu kwanza halafu baadaye ndo utoe mahali hilo kwa wasukuma halipo.Kama umempenda binti katoe mahsli then utaruhusiwa kumpeleka kwenu.Kumpeleka kabla ya mhari kwa wasukuma ni...
  5. max 20

    Nahisi nina pepo la ngono. Mi ni mwanamke...

    Unasema mr.wako hakutoshelezi sasa tukushauri nn? Jitahidi kuwa na akili unapoomba ushauri.Kama mmeo hakutosherezi tena unakiri mwenyewe sasa tukushauri nn
  6. max 20

    Ndoa mashakani: Nina miaka 30, sina hamu na tendo la ndoa!

    Dada satisfaction of a man ni sex.Ulifanya makosa kutokumshirikisha mmeo juu ya hali yako pengine mngetafuta ufumbuzi pamoja ndo maana ya ndoa.Kwan huyo aliyekushauri hiyo dawa hukumwuliza inapatikanaje? Hata ikipatikana mi naona haitakuwa suruhisho la kudumu,kumbuka bado una miaka 30 tu.Je...
  7. max 20

    Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Nakushauri umwambie huyo demu jinsi unavyojisikia vibaya kwa unayomtendea mwanaume mwenzio.Nionavyo mimi huyo jamaa anajua ila anakulia timing tu,pengine kwa kuwa mkeo alishahisi unamla huyo demu alishamwambia mmewe.Ipo siku utaaibika sana bro na utatamani dunia ipasuke.How do you know kama...
  8. max 20

    Mrejesho....nimwambie mjomba wake?

    Nimesoma msg zako zote,ni kwamba wasukuma hatuna tabia ya kuingia vyumbani kwa wakubwa kwa stairi hiyo ama kwa binti zetu.Kilichopo hapo ni kwamba mmeo hataki kumwuuzi huyo bint na inawezekana huyo mmeo na dada yake (mama wa huyo bint) wako close sn kwa hiyo anaona akimkanya huyo bint atakuwa...
  9. max 20

    Alinificha Kama ana mtoto, sasa nimejua.

    Usifanye maamuzi kwa hasira,hayo yote yanazungumzika ndo maana unaitwa baba.Ongea na mkeo umsikie anasema nn juu ya hilo unalosema ana mtoto then mnaweza kupata suruhu kuliko kumtimua. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. max 20

    I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

    Nakushauri uolewe kama huyo muoaji unamwona yuko serious.Usidanganyike kumsubiri kijana asyeonesha commitment ipo siku utajuta,wanawake huenda na time,kadri miaka inavyoenda uzuri wako waweza kuwa unachuja pia.Itafika muda kila kijana hatakuhitaji tena hata huyo unayemsema boyfriend...
Back
Top Bottom