Recent content by mawilakatoto2018

  1. M

    Kyiv yapigwa Kibiriti, ofisi kuu za shirika la kijasusi la Ukraine zashambuliwa

    tatizo sio kupewa unaweza ukarusha kombora 1 mwenzio akakujibu na 10 nani aneumia.
  2. M

    Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Uliye chanja akipata covi19 ateseki sana kama lakini asiye chanja akipata utapona ila cha moto unakiona
  3. M

    Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

    Inapunguza makali ya ugongwa.hupati adhabu sana hulali viuongo vinauma tu na maumivu makali kichwa hakiponi na usikii harufu yeyote ile wala hupati testa ya kitu chochote.nimepona bila kunywa dawa yeyote ila cha moto nimekipata.kama kuna chanjo nachanja mapema adhabu za corona kali sana
  4. M

    Dada yake Kim wa Korea Kaskazini aanza kuchomoa makucha, aionya Korea Kusini uwezekano wa kichapo

    Wakijaribu kurusha hata moja wanapotezwa kwenye uso wa dunia.
  5. M

    Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Ndugu uzalendo umekujaa mpaka unapitiliza Mbowe mchaga ameanza kunywa bia tangu mtoto bia za jana tu ndio zimvunje mguu. Ukiwa unaropoka weka na yaakiba.
  6. M

    KLM kushindwa kuja Tanganyika

    Wahenga walisema ukila na kipofu usimshike mkono.. sasa sisi tunakamata mikono yote
  7. M

    COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Njia moja tu chukia waandishi wahabari nenda nao wote kwenye vituo vya walipohifadhiwa wagonjwa wa korona wakikuta hamna mtu si wata aibika wao au pima watu wote kuwa hakikishia tupo salama.tatizo hatuonyeshi kwa vitendo tunasema kwa maneno tu.
  8. M

    Tunamdanganya nani kwamba Corona imeisha? Angalia huyu mwanamke aliyetoka nchini kukutwa na Corona huko Namibia

    Mm nimefiwa na jrani yangu.post ya jamii forum wale waliokuwa wanalishana keki amana. alikuwa amekaa kwenye kiti cha matairi pamoja na pieri cha pombe
  9. M

    Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

    Unajua bei gani wanachangia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Watanzania tutajifunza kwa makosa hadi lini? Hivi TRC hawa wanaoshindwa vitu vidogo hivi wataweza ku-run SGR yetu effectively & efficiently?

    Ukitaka kumpeleka hospital mkeo inabidi uache kazi siku nzima..hapo mnazi mmoja Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Vyama vya upinzani mjifunze kutokana na makosa

    Ni kweli ila hawa wenzetu rangi ya kijani wanadhani majanga yanatukuta wapinzani tu ila hawafaham kuwa linalo mkuta mamba mtoni hata kiboko litamkuta.
Back
Top Bottom