Hekima ya kweli haianzii pale tunapo jiona tunajua kila kitu, bali pale tunapo kubali kwamba uelewa wetu unamipaka, na kwamba bado tuna mengi ya kujifunza.
Kukubali kutokujua si udhaifu, ni mwanzo wa kujifunza, kukua na kutafuta ukweli.
Swali: Je, wanadamu tunatafuta ukweli? Au tunatafuta...
Kuna ukuta mkubwa ambao kaweka sir God mwenyewe kwetu ngozi nyeusi, sikila jambo tunaweza kulielewa,HEKIMA ya kweli huanza pale tunapo kubali hatujui kila kitu👆
Kamali haikuibii pesa pekee,wakati mwingine inakuibia muda,Amani ya moyo,na heshima yako,inakupa matumaini ya utajiri wa haraka lakini inakufundisha kuvumilia hasara kwa kisingizio cha kupata ushindi .
Tatizo si kupoteza pesa pekee,bali nipale unapopoteza pesa uliyoipata kwa jasho ,,harafu...
Hatuna cha thamani tulichorithi ila tulichonacho ni kumbukumbu ya SIMULIZI na picha tulokuwanazo tulopewa na wavuja jasho wasakatonge wa mwanzo.tuheshimuni tulicho achiwa yaani DINI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.