Swala hili ni kama kiini macho mbele ya watanzania. How comes mwizi wa multitrilions asiyesajiliwa akaribishwe kwenye meza ya mazungumzo badala ya court of law! Two inakuwaje investor makini anayeingia hasara ya billions of money daily kwa kuzuiwa mchanga na kuporomoka kwa hisa ktk soko aombe...
Ungelikuwa mtafiti na mweye kutoa maandiko ya kitafiti ktk majarida mbalimbali ya kimataifa hata usingehangaika kukosoa lugha ktk hiyo hukumu. Ignorance
Ukisikia kusadikika ndio huko. We owned Boeing sx! We are celebrating the arrival of bombardier! And we own no more Boeing neither airbus!
Kaza buti ur excellence president to own airbus in near future. Yet be careful with whom you believe support and are behind your footsteps. They are there...
Alichokifanya Mh. Arfi ndiyo njia pekee watu walioaminiwa kutetea na kulinda maslahi ya nchi na raia wake wanaweza kuuza nchi yao. Kwa nchi zijitambuazo, Arfi na watu afananao hafai kuwa mwakilishi hata wa familia yake kwani akirubuniwa aweza uza watoto.
Kwa kifupi yaliyojiri Kenya wakati wa...
Huyu rais mbona haelewiki, aliongeo hivyo kwenye kikao cha harusi au CC? Mbona siwaelewi! Habari ya bomu la Soweto, Arusha na shambulizi la Mwangosi, Iringa aliongelea? Yule kiongozi wa CDM aliyekatwa kichwa kule Arusha je? Mauaji ya wanaCUF Zanzibar chini ya mzee Mkapa je?
Kwanini amekuja na...
Mchakato wa kutengeneza katiba mpya ungeanza ndani ya siku 100 baada ya kuingia magogoni. Akili ya kufikiri huna, hata kusikiliza ni shida! Magamba kweli ni shida, ni kama yale mamijusi makubwa yaliyo extinct, yalikuwa makubwa mno akili ndogo kama yako wewe Adharusi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.