VIVIAN SALEKWA AMETEKWA ARUSHA, ALIPO HAPAJULIKANI!Familia ya Vivian Salekwa, mwenye umri wa miaka 28, inaomba msaada wa wananchi kupaza sauti Baada ya Ndugu yao kutekwa Jana Tarehe 10.10.2026 jijini Arusha.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa familia yake, Vivian alichukuliwa jana mchana...
Sina tabia ya kuposti sijui niko wapi, niko wapi, niko wapi... Sina tabia hiyo.
Lakini hapa kilichonifanya niposti hii ni hawa wenzetu bwana ukija especially Europe...Ukija Europe yaani kama wako kama perfect yaani ukifika kila kitu chao kiko 'proper', safi, usafiri safi, miji safi... Sasa...
Nkuba: Mheshimiwa Odemba, kuna tatizo la kutaka kuondoa political right kuliko political right. Hapa tunaweza kuzungumza swala la sheria. Na msingi wa sheria zetu ni katiba ya Tanzania. Of course, ni upotoshaji. Lakini kusema kwamba katiba sio ya haki ni kupotosha, yaani ni upotoshaji ambao...
Manyama: Odemba napenda niseme. Unajua katiba ya Chama Cha Mapinduzi, mimi ni mwanasheria, nasoma katiba za vyama mbalimbali na katiba ya nchi.
Msemaji wa CCM, ambaye anaweza akatoa tamko tukasema hili ni tamko la CCM, ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Na kwenye mazingira kadhaa, mwenyekiti...
Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa
Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake kuzikwa na familia ya mume wake wa zamani kutokana na mgogoro wa mahari.
Inadaiwa kuwa baada ya...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo...
Kuna baadhi ya marafiki wanateteana kwa kila kitu mpaka ujinga, akikuta rafiki yake ana msala atasimama kutetea hata kama anajua rafiki ndiye mkosa kisha atamlaumu baadaye tatizo likiisha.
Umewahi kupata rafiki kama huyo?
Leo nimekuja kunyoa nikiwa nimevaa jezi bora kabisa. Hapa nimechoka maana kila mtu ananiuliza zinapatikana wapi.
------
Sep 16, 2026 Makonda alizikataa jezi mpya za Taifa Stars kupitia ukurasa wake wa Instagram akidai kuwa ziko chini ya kiwango . "Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi...
Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo.
Siwezi kurudi nyuma kwenye mapambano ya kutafuta haki kwa sababu ya...
Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii...
Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya.
Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.