Recent content by mawe rashidi

  1. M

    Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    MI NAZANIA MTOA POST UNAITAJI MSAADA, HUJAELEWA ALICHO KIONGEA,KATIKA VITA YA KAWAIDA ADUI UNAMUONA NA HAWEZI BAKI SALAMA UTAPAMBANA NAE KWAKUA UNAMUONA MOJA KW MOJA, ILA VITA YA UCHUMI ADUI HUMUONI NI VITA NGUMU INAYOHITAJI USHIRIKIANO,HAJA MAANISHA ULICHO ANDIKA UNAPOTOSHA JAMII SI VIZURI...
  2. M

    Tanzania kwanza

    Ni wajibu wa kila mtanzania kuilinda na kuiheshimu nchi yetu(kiusalama na kiuchumi),hakuna mtu kutoka nje atakayeweza kuilinda nchi yetu. Tufuate sheria na taratibu zilizowekwa,kama hujui jambo lolote uliza kwa wakubwa na viongozi wetu.Tusipotoshwe na watu wachache wenye masilahi binafsi...
  3. M

    Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    na tunao waidai vp??? unafaa ukaishi sudan kusini for free citizenship
  4. M

    Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    MATUMIZI BORA YA MTANDAO KIMAENDELEO YA TAIFA LETU,ULINZA WA MAWASIRIANO YETU PAMOJA NA DATA ZETU NI MUHIMU KWA NCHI YETU. Personal Data Protection Act ITATUSAIDIA WATANZANIA
  5. M

    Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    haujazuiliwa kuwasiliana kwa huru na haki,cha msingi fuata sheria na taratibu ili uwasiliane salama
  6. M

    Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    hakuna aja ya kuedit 7 times,kua makini na unachotaka kupost...hukatazwi kusalimiana,kupeana taarifa,kutumiana picha BUT sio kupost porns,au chatting to harm someone au uharifu wowote
  7. M

    Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    ITS FOR OUR FUTURE SECURITY OF OUR NATION,CULTURE,AND COMMUNITY IN TOTAL.........
  8. M

    CHADEMA kwenda mahakamani kudai haki ya mikutano ya hadhara

    wafanye kazi kwanza mikutano tutakutana kujadili mapato na matumizi sio siasa..........:p:p:p:(
  9. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    wewe hauko huko tatizo ndo mana hutambui kitu
  10. M

    Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    Itakua safi sana,nazani uharifu nchini utapungua kwakua tutakua na matumizi bora ya mtandao kimaendeleo zaidi
Back
Top Bottom