Recent content by mawazo yungula I

  1. M

    Mkono kutetemeka na kushindwa hata kuandika

    Habari ndugu, vipi ulipata suluhisho la tatizo lako? Maana naona km tatizo hili linafanana Kwa karibu na la kwangu. Nami nimepoteza uwezo wa kuandika kabisa. Yani vidole haviwezi kushika Kalam na kutengeneza herufi. Nimekwisha kwenda hospitali km bugando na Benjamin but sijapata nafuu
  2. M

    Nimeiangalia hii video Mara 44 nimegundua kitu - Kwakweli askofu

    vita ya kisiasa ni vita chafu sana. wakati mwingine inaweza kusababisha ukweli ukazikwa na uongo ukashamiri. gwajima na bashite ni ndugu wanaotafuta political legacy. wote wana nia ya kuwania ubunge kule kwao misungwi. sasa ktk hali kama hii gwajima dhahiri anaweza kubwa katafuna kondoo wake...
  3. M

    Biashara zinazotumia mfumo wa "Network Marketing" na Ulaghai uliofichwa ndani yake

    unasema sio utapeli mkubwa bali ni utapeli mdogo na unaanza kuutetea, ina maana umepanga kuhalalisha utapeli mdogo kutokana na madhara yake kuwa madogo? nijuavyo mimi hakuna living wala non-living, wote kusudio lao ni kutumia uelewa wa chini wa watu ili kuwaibia.
  4. M

    Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

    Naomba nipewe njia sahihi ya namna ya kupata watoto mapacha.
  5. M

    Kwa mfumo huu, Taifa la tanzania litaanza kupumua

    Kaka yangu Zitto aliwahi kushauri kuwa nchi imevimba hivyo waziri mkuu anapaswa kujiuzuru ili kutoa fursa kwa nchi kupumua. watu ambao ni washabiki wa siasa zisizo za kistaarabu hawakumuelewa labda kwa sababu ya upeo na mtazamo. wale waliomuelewa walijua wazi kuwa kushindwa kwa rais katika...
  6. M

    Vyama vya Upinzani baadhi vina dhamira nzuri kimtazamo ila viongozi wake sio

    Tumeshuhudia vyama pinzani vikifanya kazi kubwa ya kutoa elimu ya uraia na ya kimapinduzi kwa wananchi kwa nguvu kubwa sana. Sitaki kuhoji juu ya sera za vyama hivi na mipango mkakati ambayo ni mbadala pindi vitakapochukua nchi, mfano kilimo kina changamoto zipi na chama kikishika hatamu...
  7. M

    Kwa mfumo huu uchaguzi mwaka 2015 ni magumashi matupu!

    hatupaswi kuwa na hasira katika ishu nyeti. kubwa ni kuangalia mustakabari wa nchi yetu na vizazi vyetu kwani naamini mwenye macho haambiwi tazama
  8. M

    Kwa mfumo huu uchaguzi mwaka 2015 ni magumashi matupu!

    Nilipata kuandika meseji katika moja ya magazeti hapa nchini nikihoji kama kweli serikali ina dhamira ya dhati kuendesha uchaguzi utakaoshirikisha umma wote wa wapiga kura mwaka 2015. Naomba nirejee kauli yangu kuwa uchaguzi huu hauna mantiki kwa sababu zoezi zima limegubikwa na ubabaishaji...
  9. M

    One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

    nikupongeze sana poti kwa malengo mazuri ambayo chama kimeyaweka. lakini nitahadharishe kuwa subordinates wanaweza kuwa kikwazo. mfano katika ngazi za chini kuna viongozi si kwa sababu ya sifa zao bali kwa kuwa walikuwa wa kwanza kuwa wanachama. hatima yake wako tayari hata kupindisha taratibu...
  10. M

    Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

    Muhusika alikwishajibu kwa nini asiulizwe yeye kwa ufafanuzi zaidi
  11. M

    Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

    Ninapata tabu sana ninapofuatilia mijadala inayoendelea juu ya zitto. Hii ina maana bado ana nguvu hata kwa wale wanaomtusi. Kama mtu hakuhusu hana nafasi katika mtazamo wako vipi uendelee kumfuatilia.hebu tuachane na mijadala ya watu na tuangalie taifa linataka nini kwa sasa kama kweli ktuna...
Back
Top Bottom