Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake.
Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako...
Shida ya Tz sio Rais, bali mazingira yanayopeleka kupatikana kwa Rais. Tuwe wawazi
Mwinyi alikuwa suluhisho katikati ya mivutano na mashaka, hata kama hakuwa chaguo la wengi
Mkapa aliletwa kama mtu wa kuirejesha Tz kwenye mustari baada ya uholela uliozagaa wakati wa Ruksa
Kikwete lilikuwa...
Braza Paschal,
Labda tunatofautiana katika kutafsiri unyanganyi - maana hapo kuna uporaji - yaani anayedai hana nafasi ya kulipeleka mahakamani hili kama Jinai?
WADAU
AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA"
Miongoni mwa maandiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.