Recent content by Mavipakos

  1. Mavipakos

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dah..... Wadau mnaenjoy ile mbaya, kila nikijaribu kuzi-download kwenye link zao nachemka
  2. Mavipakos

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mhhhhh!!!!! Tangazo halivutiiiiiiii hata kidogo.... Weka kazi uliyoifanya tuione then tukutafute
  3. Mavipakos

    Nauza Bata Mzinga, Kanga, Bata Bukini

    Bata pekin unauzaje? Wana miezi mingapi?
  4. Mavipakos

    Kiwanja kinauzwa

    Yah, pameshajengeka vya kutosha, mji umeshavuka mahala plot ilipo
  5. Mavipakos

    Kiwanja kinauzwa

    Umeme haujafika ila ndio wanapeleka nguzo, maji vipo visima vya watu binafsi, hakuna kambi ya jeshi karibu
  6. Mavipakos

    Kiwanja kinauzwa

    Hakijapimwa
  7. Mavipakos

    Kiwanja kinauzwa

    Eneo: Kibaha kwa mfipa km 2.5 kutoka morogoro road Ukubwa: 30*60 m Bei: 8,000,000/= Ni mali yangu sio dalali PM tufanye biashara
  8. Mavipakos

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Nauza kiwanja Ukubwa ni 30m*60m Kipo Kibaha kwa mfipa 2.5 km kutoka morogoro road Bei: 8,000,000/= Ni changu sio dalali Mawasiliano: PM
  9. Mavipakos

    Kuku aina ya kari

    Maana kila mtu anadai anao
  10. Mavipakos

    Kuku aina ya kari

    Kuweni makini kwenye ununuaji wa hao kuku, usije ukaingia gjarama ya kulea pure kienyeji bila kujua
  11. Mavipakos

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Nahitaji kiwanja kifuru, kinyerezi, mwenye nacho niinbox
  12. Mavipakos

    Vifurushi vya Tigo (Data, Sms, na Dakika)

    Habari!!!!! Hivyo vifurushi bado vipo?
  13. Mavipakos

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Usafi, chakula kizuri na eneo la kutosha ndio kila kitu kwa vifaranga. Pole sana ila usikate tamaa
  14. Mavipakos

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Umeongea uhalisia mtupu, 1. Mfugaji anaetaka maendeleo kutokana na ufugaji wa kuku hawezi kumuacha kuku alee vifaranga kwa miezi 3 inabidi ajifunze kulea vifaranga kwa njia mbadala 2. Ni kweli kuku ukimnyang'anya vifaranga baada ya wiki 2 anataga upya 3. Si lazima kuku akitaga atamie...
  15. Mavipakos

    Manji aanza kuihujumu Yanga

    Kichwa cha habari na yaliyomo tofauti kabisa.... Elimu bure sasa hivi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Back
Top Bottom