Recent content by mauya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Vipodoz na nguo Za ndan wap naweza Pata kwa bei ya jumla Na nafuu ukilinganisha Na maeneo mengine ya K/koo
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Timiza wajibu wako bila shurti, funzo kutokana na tukio la kweli

    Daaah kama hadith Ingawa ni kweli Hongera sana kwa ukarimu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Misemo ya Mwl.Kashasha

    Huyu Ibrahim Ajibu Ni mchezaji wa kipekee nchin Tanzania ana 3B Yaan ball balance Ball control Ball fitness Kwako Enock
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

    Vipi Kuhusu Didier kavumbagu Huyu jamaa naye kapotea Fasta
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mdau aliyeamua kujiajiri lakini amekwama

    Ani pm huenda Akapata msaada
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mdau aliyeamua kujiajiri lakini amekwama

    Mwambie Tuwasiliane
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

    Josze Zefania, Mawazo mazuri sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kichocheo cha NANO

    Wanajamvi naomba Kujua Kwa wajuz au Waliowahi kutumia kichocheo Cha NANO ENERGIZER ambacho kinapata airtime Katika tv mbalimbali nchini. Kichocheo hiki ni Kweli Kinasaidia kuifanya engine ya gari iliyochoka kuwa imara ? Je ni Kweli kinapunguza ulaji Wa Mafuta Kwa asilimia 8-20? Karibuni...
Back
Top Bottom